Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU WA BUNGE ATEMBELEA JUKWAA LA WAHARIRI NA KUONGEA NA VIONGOZI

 Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah leo ametembelea Ofisi za Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) zilizopo Mtaa wa Mtendeni, Dar es Salaam na kukutana na viongozi wakuu wa taasisi hiyo; Theophil...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA ALIYEKUWA RAIS WA KENYA, LUCY KIBAKI AFARIKI DUNIA

Lucy kibaki wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2007Mke wa kwanza wa rais Lucy Kibaki amefariki katika hospitali mmoja mjini London kwa ugonjwa usiojulikana. Lucy alipata umaarufu kwa kumchapa kofi...

View Article


JARIDA LA MTANDAONI LA IDARA YA HABARI MAELEZO KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YATOKANAYO BUNGENI LEO

Wabunge wa Viti Maalum wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2016.Kutoka kushoto  ni Mwenyekiti wa Bunge, Najma Murtaza Giga, Khadija  Hassan Aboud na Halima Abdallah Bulembo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS KUCHEZA KIRAFIKI NA HARAMBEE STARS MEI 29, NAIROBI

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars) Mei 29, 2016...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JPM AVUNJA BODI YS TCRA, AMFUKUZA KAZI MKURUGENZI MKUU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAADHARI YA HALI YA HEWA, TAFADHALI SOMA NA ZINGATIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha kazi na watendaji wa serikali wakiwemo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Kiongozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AREJEA KUTOKA CHINA NA HABARI NJEMA, AKUTANA NA WAANDISHI

  Mwenyekiti a CCM, Rais Mstaafu jakaya Kikwete akiwa na Katibu wake, Suleiman Mwenda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, leo akitokea chini China alikokuwa...

View Article


NEW MUSIC: HAITHAM FT. MWANA FA - FULANI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

APPLE YARIPOTI MAUZO YA IPHONE KUANGUKA KWA MARA YA KWANZA

Kampuni ya Apple imeripoti anguko la mauzo ya iPhone kwa mara ya kwanza, jambo ambalo limelazimisha kurudi na kufanya tathmini na kuleta shinikizo kubwa ndani ya kampuni hiyo. Kampuni hiyo yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI 267 WA MKOANI NJOMBE WANUFAIKA NA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA

Na MAELEZOJumla ya wagonjwa 267 wa mkoani Njombe wamenufaika na huduma za matibabu za madaktari bingwa kutoka hospitali mbalimbali za hapa nchini.Takwimu hizo zimetolewa leo mkoani Njombe na Afisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII WAASWA KUTOINGIA MIKATABA KIHOLELA

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso akizungumza na wadau wa filamu katika kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala halisi ya filamu kati ya mtengenezaji filamu nchini Bw....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AWATAKA WANAFUNZI KUZINGATIA MAFUNZO

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, akizungumza na wakufunzi watarajiwa Kambi ya JKT Makutupora, alipowatembelea kuona maendeleo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA 10 IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Bw. Jumanne Abdallah Sagini (kulia) kuwa Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Simiyu leo Ikulu jijini Dar es salaam.Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA TAWLA NA UONGOZI WA SKAUT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, na Katibu Mkuu Kiongozi Baolozi Peter Kijazi Baada ya kuapishwa Makatibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJANE WA MWALIMU BABA WA TAIFA MAMA MARIA ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI

 Mama Maria Nyerere, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akiwa na mwanae Mhe. Makongoro Nyerere na msaidizi wake akifurahia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akiwasilisha hoja za makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2016/17...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANDARI YA DAR KUUNGANISHA SINGAPORE NA EAC

WAZIRI wa Biashara na Viwanda wa Singapore, Dk. Koh Poh Koon, amesema wamepanga kutumia bandari ya Dar es Salaam kuwa kiunganishi cha biashara kati ya nchi hiyo na mataifa mengine ya Afrika Mashariki....

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live