$ 0 0 Wabunge wa Viti Maalum wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2016.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bunge, Najma Murtaza Giga, Khadija Hassan Aboud na Halima Abdallah Bulembo. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)