Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

JK AREJEA KUTOKA CHINA NA HABARI NJEMA, AKUTANA NA WAANDISHI

 Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti a CCM, Rais Mstaafu jakaya Kikwete akiwa na Katibu wake, Suleiman Mwenda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, leo akitokea chini China alikokuwa akiwa katika ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani MadabidaMwenyekiti wa CC,M Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na MadabidaMwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungmza na baadhi ya viongozi  
Jk akiingia ukumbini kuzungumza na waandishiJk akiwa tayari kuzungumza na waandishi wa HabariMwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa Habari leo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere mjini Dar es Salaam, akitoa nchini China alikokuwa katika ziara ya kikazi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam. Ramadhani Madabida. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles