Quantcast
Channel: Matukio

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WENGI HAWAFAHAMU KUFANYA MANUNUZI KWA NJIA YA MTANDAO

Na Jumia Tanzania Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, biashara nyingi Tanzania na duniani kote zimehamia kwenye mifumo ya mtandao wa intaneti. Ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AWATEMBELEA WAHADZABE NA WATATOGA MKOA WA MANYARA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akizungumza na wananchi wa jamii za Wahdzabe Watatoga na Wasukuma wakati alipotembelea Kata ya Eshkesh kijiji cha Dumanga Yaeda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAWADI YA KUWAPA WATOTO KIPINDI CHA SIKUKUU NI TOTO AFYA KADI

WAZAZI na Walezi mkoani Tanga wametakiwa kuhakikisha wanawapa watoto wao zawadi kwenye kpindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani kwa kuwaingiza kwenye mpango wa Toto Afya Kadi ili waweze kunufaika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPORI MATANO YA AKIBA MKOANI KAGERA NA GEITA KUPANDISHWA HADHI YA KUWA...

PICHANI: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamisi Kigwangalla akizungumza bungeni alipokuwa akijibu hoja wa wabunge waliochangia mjadala wa bajeti wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAO MAKUU HALMASHAURI YA BUMBULIKUJENGWA KWEHANGALA

PICHANI: Ramani ya jengo la Halmashauri ya Bumbuli litakavyokuwa. (Picha na Yusuph Mussa, Immamatukio Blog).Na Yusuph Mussa, BumbuliImmamatukio BlogHATIMAYE Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA WCF KANDA YA NYANDA ZA JUU...

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde, akipeana mikono na mama mjane, Atulehemu Kiduko, ambaye analipwa fidia ya kila mwezi kufuatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AMWAGA PIKIPIKI KWENYE MINADA YA MIPAKANI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina(mwenye miwani) akikagua moja kati ya pikipiki kumi kabla ya kuzikabidhi ili zitumike kwenye minada ya mipakani na upili.Picha na John MapepeleNa John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKIPONGEZA CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA (TAWLA) KWA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakisalima iana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndungulile wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA, MBUYU KWENYE MSITU WA SIASA

Na Emmanuel J. Shilatu Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Abdulrahman Omar Kinana anatajwa kuwa katika orodha ya safu za viongozi mibuyu na migude kwenye misitu minene ya siasa yenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF TANGA YAHAMASISHA WAFANYABIASHARA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) umesema watatumia maonyesho ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Jijini Tanga kuwahamasisha wafanyabiashara kujiunga nao ili waweze kunifaika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AMWAGA FUTARI KWA TAASISI 10 ZA KIDINI NA MAGEREZA, TANGA

PICHANI: Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kushoto akimkabidhi futari Mkurugenzi wa Taasisi ya kulea watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPA TANGA YAJIVUNIA KASI YA UTOAJI HUDUMA

PICHANI: Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akisalimia na Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga alipokwenda...

View Article

HUU NDIO MSINGI NA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA TAIFA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO SAME YAKATA MAWASILIANO YA MIOUNDO MBINU ,WANACHI WATUMIA MITUMBWI...

Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro,Aisha Amour (aliyenyoosha mkono) akiwa na baadhi ya Wajumbe wa kamati ya Maafa ya mkoa wakiwa eneo la Ruvu Darajani ambako magari yanaishia baada ya miuondo mbinu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO AONGOZA WAJUMBE WA KAMATI YA MAAFA...

Eneo la Kitongoji cha Mferejini lililotengwa na Serikali kwa ajili ya kuanzisha kambi kwa ajili ya Wahanga wa Mafuriko . Wahanga wa Mafuriko wakianza ujenzi wa nyumba za Miti kwa ajili ya kujisitiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KIGWANGALLA ASHIRIKI MAZISHI YA MAMA MZAZI WA HUSSEIN BASHE NZEGA

Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akimfariji mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe kufuatia kifo cha mama yake mzazi aliyezikwa leo wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC AAGIZA KOROGWE KUWA NA STENDI MOJA YA MABASI

PICHANI: Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela (kulia) akiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Godwin Gondwe kwenye kikao na wadau wa Korogwe juu ya hatma ya matumizi ya stendi mbili katika Mji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTAJI WA BENKI YA TPB UMEKUWA KUTOKA BILIONI 8 HADI BILIONI 60

 Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki hiyo,Proffesa Lettice Rutoshobya akifungua tawi jipya la TPB mkoani Tanga kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Sabasaba Moshingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPACHA WALIOUNGANA CONSOLATA NA MARIA WAFARIKI DUNIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali watoto wawili Mapacha walioungana Maria na Consolata ambao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI WA WANYAMAPORI WATAKIWA KUWA WAADILIFU NA MAKINI KUTOKANA NA WANYAMA...

Na Mwandishi wetuWALINZI wa wanyamapori katika maeneo yanayozunguka Pori ya Akiba la Maswa yanayopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wametakiwa kuwa makini na waadilifu kutokana na kuongezeka kwa...

View Article

MAKAMU WA RAIS AZINDUA UKUTA WA FUKWE WA BAHARI- BARABARA YA BARACK OBAMA DAR...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AAGIZA KUKAMATWA KIONGOZI ALIYEFUJA MILIONI 23

PICHANI: Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akisisitiza jambo wakati akizungumza na wakulima wa pamba katika kijiji cha Msai wilaya ya Iramba akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA AFYA TAMOTA - BUMBULI VIJIJI 20 KUNUFAIKA

PICHANI: Moja ya majengo ya Kituo cha Afya Tamota, Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga, ambapo Mbunge wa Jimbo hilo January Makamba alikagua ujenzi wake jana Juni 10, 2018. (Picha na Yusuph Mussa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASUBA YATOA UFADHILI KWA WANAFUNZI WA KIKE 20 AFRIKA MASHARIKI

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) imezindua mpango wa ufadhili wa masomo ujulikanao kama Sanaa tuition fee waiver scholarship kwa wanafunzi 20 kwa mwaka wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFS NA WADAU WAANZ ASAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI

 Meneja Masoko na Uwekezaji wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS),Mariam Kobelo akigawa Vipeperushi kwa Wakazi wa Dar es Salaam ambao wanafanya safari ya kutembelea Msitu wa Asili wa Amani uliopo...

View Article