Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah leo ametembelea Ofisi za Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) zilizopo Mtaa wa Mtendeni, Dar es Salaam na kukutana na viongozi wakuu wa taasisi hiyo; Theophil Makunga (Mwenyekiti), Deodatusi Balile (Makamu Mwenyekiti), Neville Meena (Katibu), Neng'ida Johanes (Katibu Msaidizi) na Prica Kabendera (Mratibu wa TEF). Dk. Kashililaha aliambatana na Mkurugenzi wa Itifaki na Uhusiano wa Kimataifa wa Bunge, Jossey Mwakasyuka. (Na Mpiga Picha Wetu)
↧