BREAKING NEWS: MAUAJI YA KIKATILI ARUSHA USIKU WA KUAMKIA LEO
Taarifa zilizotufikia za kusikitisha ni kwamba kumetokea mauaji katika mgahawa wa Wama ulioko Gymkhana jijini Arusha(Pichani chini). Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na...
View ArticleMOTO MWANANYAMALA, LIVE ZIMAMOTO YACHEMSHA JANA (VIDEO + PICHA 10)
Wakazi wa Mwananyamala wakiimba kwa hisia "Zimamoto Hatuwataki, Zimamoto Haina Maji"jana baada ya Zimamoto kufika eneo la tukio na kushindwa kazi.Askari wa Jeshi la Zimamoto, Saleh Ally Mohammend,...
View ArticleMAONESHO YA KWANZA YA KIMATAIFA YA UTALII TANZANIA
Wizara ya Mali Asili na Utalii nchini inajiandaa kufanya maonesho makubwa ya kwanza ya kimataifa nchini ya utalii. Kwa mujibu wa Waziri wa Utalii, Lazaro Nyalandu, maoneshoa hayo yatafanyika nchini...
View ArticleMTOTO AMEPOTEA KWA KUTEKWA CHANGANYIKENI, DAR ES SALAAM
Huyu mtoto anaitwa Merlyn (pichani) ametekwa na story ya mashuhuda ni kama ifuatavyo.Merlyn likuwa nyumbani na dada yake, wakatoka wote kwenda gengeni, ndio njiani wakakutana na mbaba akauliza "Mama...
View ArticleEXCLUSIVE: MOMBEKI KUTOKA SIMBA MPAKA JKT RUVU STARS
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Simba, Betram Mombeki (PICHANI, AKIWA NA UZI WA JTK RUVU) amejiunga na JKT Ruvu Stars ya Pwani. Mombeki amejiondoa Simba kwa sababu hakuwa anaelewa atima yake katika...
View ArticleUFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA UWEPO WA DAWA ZILIZOISHA MUDA WA MATUMIZI KATIKA...
TAARIFA KWA UMMAUFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA UWEPO WA DAWA ZILIZOISHA MUDA WA MATUMIZI KATIKA SOKOHivi karibuni kumekuwepo na taarifa zilizoripotiwa na gazeti la Tanzania Daima la kila siku kuhusu uwepo...
View ArticleCCM KUZIPITIA MWEZI UJAO ADHABU ILIZOWAPA WAWANIA URAIS
Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama itafanya mapitio ya mwenendo wa utekelezaji wa adhabu walizopewa na Kamati Kuu mapema mwaka huu, na kama itabainika kuwa hawatekelezi ipasavyo masharti ya adhabu...
View Article