Wakazi wa Mwananyamala wakiimba kwa hisia "Zimamoto Hatuwataki, Zimamoto Haina Maji"jana baada ya Zimamoto kufika eneo la tukio na kushindwa kazi.Askari wa Jeshi la Zimamoto, Saleh Ally Mohammend, Sajent Meja, akitoa maelezo kuhusiana na tukio zima moto katika eneo hilo
Chini ni vijana wakijitahidi kuzima moto kwa kutumia ndoo mkono kwa mkono
Askari polisi wakijitahidi kutuliza na kuhakikisha usalama upo katika enero la Mwananyamala karibu na hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, jana baada ya moto kuteketeza nyumba zisizopungua 4, haikuweza kufahamika maramoja ni mali kiasi gani iliteketea na moto huo, hakuna madhara yoyote ya kibinadamu
Askari wa Jeshi la Zimamoto, Saleh Ally Mohammend, Sajent Meja, akitoa maelezo kuhusiana na tukio zima moto katika eneo hilo

BOFYA CHINI KUONA VIDEO YA TUKIO HILO
ANGALIA PICHA ZAIDI. . .