DIAMOND AVUNJA REKODI, MSANII WA KWANZA TANZANIA KUPATA STAR BET
Miguu ya Diamond Platnumz akiwa amesimama katika nyota yake iliyotengenezwa kwaajili ya msanii huyo kutoka Tanzania. Diamond anakuwa msanii wa kwanza kutoka nchini ambaye amepata mafanikio mpaka kupata...
View ArticleRAMADAN KAREEM TO ALL MUSLIMS AROUND THE WORLD
IMMA MATUKIO WISHES RAMADAN KAREEM TO ALL MUSLIMS, MAY THIS RAMADAN BRING YOU LONGEVITY, PROSPERITY AND JOYAMEENÂ INSHA'ALLAHÂ BE BLESSED
View ArticleUCHAGUZI SIMBA: MATOKEO YA AWALI, AVEVA AIBUKA MSHINDI, KABURU NAYE JUU
Matokeo ya awali ambayo yamepatikana kutoka chumba cha kuhesabia kura ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam, Evans Elieza Aveva ameshinda Urais kwa kupata kura 1452 kati ya...
View ArticleWAZIRI WA HABARI AKABIDHI BINTI WAKE TAYARI KUOLEWA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dr Fenella Mukangara (kushoto) akimkabidhi zawadi binti yake Cleopatra na kumpa maneno ya busara wakati wa kitchen party ya Cleopatra, iliyofanyika...
View ArticleHAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA BET, NI DAVIDO AFANYA VIZURI TENA
Msanii kutoka Nigeria akiwa na msanii maarufu wa Marekani, Jennifer Hudson, Davido kwa mara nyingine tena ameibuka msanii wa kimataifa katika tuzo kubwa za burudani BET, Tanzania iliweza kupata fursa...
View ArticleDIAMOND PLATNUMS USO KWA USO NA NELLY KATIKA BET
HIKI NDICHO ALICHOANDIKA DIAMOND "Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi......
View ArticleMTATIRO AWAJIBU TANZANIA DAIMA, AWASHANGAA KWAKUBAHATISHA
JULIUS S. MTATIRO "Hii habari imenishangaza sana….Tanzania Daima nalo limegeuka kuwa gazeti la kuandika habari za kubahatisha namna hii…kwani hamna vyanzo vya habari sahihi???? nilitegemea UHURU ndo...
View ArticleBREAKING NEWS: BASI LA MAGEREZA LAVAMIWA NA MAJAMBAZI, WAFUNGWA WATOROKA
Habari zilizotufikia jioni hii ni kwamba majira ya jioni leo eneo la Mikocheni TMJ, jijini Dar es Salaam, majambazi wamevamia gari la wafungwa na kulimiminia risasi kisha kuondoka, tukio hilo...
View Article