Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

BREAKING NEWS: MAUAJI YA KIKATILI ARUSHA USIKU WA KUAMKIA LEO

$
0
0
Taarifa zilizotufikia za kusikitisha ni kwamba kumetokea mauaji katika mgahawa wa Wama ulioko Gymkhana jijini Arusha(Pichani chini). Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha.






Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles