Wizara ya Mali Asili na Utalii nchini inajiandaa kufanya maonesho makubwa ya kwanza ya kimataifa nchini ya utalii. Kwa mujibu wa Waziri wa Utalii, Lazaro Nyalandu, maoneshoa hayo yatafanyika nchini mwenzi Oktoba, jijini Dar es Salaam, Mlimani City.
Mh. Nyalandu aliweka bayana nia hiyo katika mtandao wa Twitter(Chini) mapema leo na kuyataja maonesho hayo yatakayofahamika kama SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO.