TANZIA:CHADEMA YATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi na Mbunge wa Kalenga, Dkt. William Mgimwa ambaye amefariki akiwa...
View ArticleBUBU AMUUA BABA YAKE MZAZI, KISA…SOMA HAPA
Tunduru Kijana wa umri wa Miaka 29 mwenye ulemavu wa kushindwa kuongea (Bubu) aliyefahamika kwa jina la Zuberi Hatima Said anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua Baba yake Mzazi akiwa anamtuhumu...
View ArticleUNAMKUMBUKA UNCLE PHIL? AMEFARIKI DUNIA, ANGALIA VIDEO HAPA
James Avery(Pichani Kulia) amefariki akiwa na umri wa miaka 65. Msanii huyo aliyefahamika sana kwa jina la Uncle Phil kwenye tamthiliya ya Fresh Price of Bel-Air, amefariki akiwa katika hospitali huko...
View ArticleMAJONZI:KAREGEYA NAYE AAGA DUNIA
Polisi nchini Afrika Kusini wamesema kuwa aliyekuwa mkuu wa idara ya ujasusi wa Rwanda, Patrick Karegeya, amepatikana ameaga dunia katika hoteli moja mjini Johannesburg.Kwa mujibu wa BBC Swahili, Bwana...
View ArticleHATARI: HII INATISHIA AMANI KWA WASAFIRI
Hii ni sehemu ya barabara ya Mpanda kuelekea Kigoma, hapa madereva wakihangaika kunasua magari yaliyokwama kwenye tope kama walivyokutwa na kamera ya mdau wetu hivi karibuni.
View ArticleWAZIRI MEMBE AUNGANA NA WATANZANIA KATIKA KUOMBOLEZA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe ameandika katika mtandao wa twitter jinsi alivyohuswa na kifo cha Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa. Soma juu post yake.
View ArticleAJALI TENA MOROGORO, MMOJA APOTEZA MAISHA
Taarifa tulizozipokea kuhusu ajali iliyotokea tarehe 01/01/2014 na kusababisha kifo cha mtu mmoja ilitokea mkoani Morogoro eneo la Kidoma, Mikumi, saa tisa alasiri katika barabara ya Iringa/Morogoro...
View ArticleUTARATIBU MZIMA WA MAZISHI YA WAZIRI WA FEDHA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (Pichani) atakutana na waandishi wa habari leo mchana ili kutoa utaratibu mzima wa shughuli ya...
View ArticleHOFU YAZUKA JIJINI DAR ES SALAAM, YAHOFIWA NI BOMU
(via wavuti website) HALI ya taharuki leo iliwakumba wakazi wa eneo la Shekilango, jijini Dar es Salaam, baada ya kuona kitu aina ya chuma kilichokuwa kimejifukia ardhini na kuonekana sehemu ya juu,...
View ArticleANOTHER BREAKING NEWS: MENO 81 YA TEMBO YAKAMTWA BANDARINI
TAARIFA KWA UMMAMamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na vyombo vingine vya Dola, tarehe 2 Januari...
View ArticleMABOMU TENA: WANAKWAYA 6 WALIPULIWA BOMU ARUSHA
ArushaWanakwaya sita, waumini wa kanisa katoliki parokia ya Mt. Kalory Rwanga, Usa River, wamelazwa katika Hospitali ya Mission na Tengeru,wilayani Arumeru baada ya kujeruhiwa vibaya kwa bomu...
View ArticleJOEL BENDERA NA OLE MEDEYE WATUNUKIWA UDAKTARI
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Joel Bendera(Kushoto), jana alitunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University, Marekani (USA).Makamu Mkuu wa chuo hicho...
View ArticleMAMBO HAYO: SIMU YA MWAKA 2025 HII HAPA
HII NDIO SIMU ITAKAVYOKUWA MIAKA IJAYOTAFADHALI TUAMBIE, UNGEPENDA KUWA NA SIMU KAMA HII? KAMA NDIO, KWANINI NA KWANINI HAPANA?TUPIA HAPO KWENYE COMMENT TAFADHALI...
View ArticleHII KALI: BAJETI YA MWAKA BUMBULI, ASILIMIA 50 NI MISHARA TU
LushotoBaadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Bumbuli wilayani Lushoto mkoani Tanga wameitilia shaka bajeti yao ya mwaka 2014/15 ya sh. bilioni 24.1 kwa kusema haiwezi kuwasaidia kwa vile kati ya fedha...
View Article