WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 44
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amepokea pikipiki 44 zikiwa ni msaada kutoka Ubalozi wa China na Kampuni ya Fu-Tang ya kutoka China. Amekabidhiwa msaada huo leo mchana (Jumanne, Desemba 24, 2013) mbele ya...
View ArticleMADEE, CHEGE KUWASHA MOTO COCO BEACH XMASS DAY
Katika kuhakikisha sikukuu za krismas inaenda vyema, kampuni ya mawasiliano ya Vodacom imeandaa Tamasha kwa wateja na mashabiki wa Muiki katika viwanja vya fukwe za Coco wakati huu ikiwaleta wasanii...
View ArticleDR. SLAA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU 22 NCHINI
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibroad Slaa amehitimisha ziara yake ya siku 22 ya kuimarisha na kukagua uhai wa chama katika majimbo 19 mikoa ya Shinyanga, Kigoma,...
View ArticleANASWA KWA TUHUMA ZA KUUZA SILAHA
TaboraJESHI La Polisi Mkoani Tabora limemkamata mkazi mmoja wa Mjini Kigoma kwakuwa na Bunduki ya Kivita pamoja na magazine yake.Kamanda wa Polisi Mkoani Tabora, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter...
View ArticleLEMBELI ATAKIWA KUMUOMBA RADHI MAIGE
Shinyanga Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakazi wa jimbo la Msalala wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wamemuomba mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya ardhi, maliasili na mazingira, James...
View ArticleAIRTEL YATUMA SALAM ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA
Kampuni ya mitandao ya simu za mkononi ya Airtel imewaasa Watanzania wote kote nchini kulinda amani na utulivu wa nchi katika kipindi hiki cha sikukuu ikiwa ni baada ya kuwatakia heri ya Christmas na...
View ArticleMEGATRADE YATOA MISAADA KWA WATOTO
ArushaKAMPUNI ya Megatrade Ivestment kupitia kinywaji chake cha K-vant Gin imetoa misaada ya vitu mbalimbali ikiwemo chakula kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwaajili ya sikukuu ya krismasi...
View ArticleHAPPY NEW YEAR 2014
IMMA MATUKIO INAWATAKI HERI YA MWAKA MPYA WASOMAJI WAKE, WAPENZI, WACHANGIAJI WOTE, WAFUATILIAJI MAMBO MBALI MBALI, WANAOTUPENDA NA WANAOTUCHUKIA, WANAOTUTAKIA MAFANIKIO NA WASIO TUTAKIA, WAKUBWA KWA...
View ArticleHII NI NOMA: DEREVA WA DAR EXPRESS AKUTWA AMEPIGA VIROBA
HIvi karibuni POLISI NA SUMATRA walifanya zoezi la kupima ulevi kwa madereva Chalinze, Mkoa wa Pwani. Zoezi hilo lililokuwa linalenga kukipima ulevi kwa madereva wa usafirishaji hasa kwa mabasi...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA DK.WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA
Taarifa za hivi punde zinasema Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa amefariki dunia.Waziri huyo katika serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete amefariki dunia hii leo baada ya kuugua na kulazwa...
View ArticleCONFIRMED: RAIS KIKWETE APOKEA TAARIFA KIFO CHA WAZIRI WA FEDHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha, Mheshimiwa William Mgimwa, aliyekuwa pia Mbunge wa...
View ArticleSHEIN : JAMANI FANYENI MAZOEZI, NI MUHIMU KWA AFYA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,(katikati) na viongozi mbali mbali walioshiriki matembezi ya Bonanza ya 5 ya vikundi vya...
View ArticleHII KALI: NDOA 54 ZAFUNGWA KWA MARA MOJA KAHAMA
Wanandoa wakiwa kanisani hivi karibuni mwaka uliopita kwenye kanisa kuu la jimbo Katoliki la Kahama ambako jumla ya ndoa 54 zilifungwa wakati mmoja na paroko Padre Logatus Malulu katika...
View Article