Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

JOEL BENDERA NA OLE MEDEYE WATUNUKIWA UDAKTARI

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,  Bw. Joel Bendera(Kushoto), jana alitunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University, Marekani (USA).

Makamu Mkuu wa chuo hicho alimtunuku Bw. Bendera PHD hiyo katika tafrija ndogo iliyofanyika viwanja vya Ikulu ndogo mjini Morogoro, sambamba na hilo Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Goodluck Ole Medeye (Kulia Juu) naye pia alitunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles