TAARIFA KUHUSU SHIRIKA LA RELI TANZANIA
KAMPUNI YA RELI TANZANIATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA KUAHIRISHA SAFARI YA TRENI YAABIRIA KWENDA BARA HADI JUMAPILI JANUARI 05, 2014Uongozi wa...
View ArticleBALAA: MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZAIDI YA 10 PEMBA
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba moto mkubwa umeteketeza nyumba zaidi ya 10 huko Pemba Micheweni. Jitihada za kuzima moto huo mpaka tunakwenda mitamboni zilikuwa zinaendelea, taarifa zimeeleza...
View ArticleNMB SIJUI KAMA HII MMEIONA AU KUISIKIA...
NjombeWateja wa benki ya NMB katika halmashauri ya Mji Makambako wameitaka benki hiyo kuboresha huduma ili kuweza kumudu ushindani uliopo katika asasi za kifedha.Hayo yametolewa na wadau wa benki hiyo...
View ArticleALIYEKUWA WAZIRI MKUU ISRAEL ANA NAFUU, HAJITAMBUI MWAKA WA 8 SASA
YUKO KITANDANI MWAKA WA 8 KWENYE KOMAMadaktari wamefanikiwa kuirudisha hali ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel Ariel Sharon kuwa ya kawaida. Pamoja na jitihada hizo bado yuko katika hali mbaya, hayo ni...
View ArticleABIRIA 10 WADAIWA KUTUPWA BAHARINI LEO WAKITOKEA PEMBA
Imedaiwa kuwa abiria wapatao 10 wamerushwa baharini kutoka kwenye boti ya Kilimanjaro II waliyokuwa wakisafiria leo saa 5 asubuhi. Boti hiyo ya abiria ilikuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja, ndipo...
View ArticlePINDA AKAGUA KABURI ATAKALOZIKWA WAZIRI WA FEDHA
JUU:Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiji cha Magungua, Iringa kuwapa pole na...
View ArticlePICHA :VIONGOZI MBALIMBALI WASHIRIKI KUAGA MWILI WA WILIAM MGIMWA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal, wakiifariji familia ya marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga na kutoa...
View ArticleRAIS ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MGIMWA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo wakatiwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt William Mgimwa viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014...
View ArticleBARUA YA UTETEZI YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA
Mh. Katibu Mkuu,Chama Cha Demokrasia Na MendeleoUFIPA STREET, KINONDONIS. L. P 31191Dar es Salaam – Tanzania.YAH: MASHATAKA YA UKIUKWAJI WA KATIBA, KANUNI NA MWONGOZO WA CHAMA....Rejea barua yako ya...
View ArticleITS CONFIRMED: WATU 6 WAFIA BAHARINI ZANZIBAR
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Zanzibar zimesema kuwa ni kweli tukio la watu kutupwa majini lilikuwepo, na polisi walipoenda kufuatilia waliokota miili sita ya baadhi ya watu waliokufa.Imma...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGA MWILI WA MAREHEMU MGIMWA, IRINGA
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho wakati wa kuuaga mwili wamarehemu mbunge wa jimbo la Kalenga Dkt William Mgimwa leo katika ukumbi wa Siasa Ni Kilimo, Mkoa wa IringaRais wa...
View ArticlePICHA ZA MATUKIO YA WATU KUTOSWA BAHARINI ZANZIBAR
Baadhi ya watu wakifuatilia uokoaji kwa kutumia mitumbwi katika pwani ya Nungwi Hivi ndivyo ilivyokuwa baharini leo wakati wa ajali hiyo Mmoja wa manusura aliyenusurika kufa baada ya kufika nchi kavu...
View ArticleONYO KALI: DEREVA, KONDA HAKUNA KUSHUKA KWENDA KUONGEA NA TRAFIK
Kibaha(kutoka Gazeti la Majira) Katika kupambana na kuzuia ushawishi wa vitendo vya rushwa kwa baadhi ya makondakta na madereva wa mabasi dhidi ya askari polisi kikosi cha usalama barabarani (trafiki),...
View ArticleHATARI YA KIFO: MABONGE WAONGEZEKA NCHI MASIKINI KULIKO NCHI TAJIRI
Idadi ya watu wenye uzito mkubwa katika nchi zinazoendelea imeongezeka kwa zaidi ya mara tatu toka watu milioni 250 mpaka milioni 904 kwa kipindi cha miaka takriban 30 tokea 1980 mpaka 2008, matokeo...
View ArticleMEZ B ANUSURIKA KUUWAWA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini anayeunda kundi la Chemba Squard Mez B, anusurika kufa mara baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana na kumkatakata na kisu usoni hali iliyosababisha msanii huyu...
View Article