$ 0 0 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe ameandika katika mtandao wa twitter jinsi alivyohuswa na kifo cha Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa. Soma juu post yake.