Dkt Mgimwa alikumbwa na mauti jana akiwa katika hospitali Milpark nchini Afrika kusini ambapo amekuwa akipatiwa matibabu.
Leo saa sita mchana Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu atatoa utaratibu wa shughuli ya mazishi ya Mh. Dkt William Mgimwa.
Tutaendelea kukuletea utaratibu mzima utakapokamilika
Tutaendelea kukuletea utaratibu mzima utakapokamilika