$ 0 0 Hii ni sehemu ya barabara ya Mpanda kuelekea Kigoma, hapa madereva wakihangaika kunasua magari yaliyokwama kwenye tope kama walivyokutwa na kamera ya mdau wetu hivi karibuni.