DIAMOND ABARIKI MAPENZI YA NEY WA MITEGO
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Naseeb Abdul 'Diamond' amebariki mahusiano ya msanii mwenzie Ney wa Mitego ambayo yeye mwenyewe bado hajataka kuyaweka wazi.Diamond ameonekana kuvutiwa na...
View ArticleSHOO YA JAYDEE YAUNDIWA ZENGWE
KUNATETESI kuwa mwanamuziki nguli wa miondoko ya bongo fleva Judith Wambura 'Lady Jay Dee' a.k.a Anaconda kuundiwa zengwe ili kukwamishwa shoo yake ambayo inatarajia kufanyika Mei 31 mwaka huu.Tetesi...
View ArticleWABANA PUA NA WATOBOA PUA KUKUTANA TENA LEO MAISHA CLUB
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego pamoja na Diamond platinum leo watakutana tena jukwaani Club Maisha ambapo wataimba kibao chao kinachotamba kwa kipindi hiki kinachojulikana kwa...
View ArticleJAYDEE KUPANDA KIZIMBANI LEO
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura 'Jaydee' a.k.a Anaconda, leo kupanda kizimbani katika Mahakama ya Kinondoni kusikiliza kesi inayomkabili
View ArticleJAY DEE ALIPOWASILI MAHAKAMANI LEO ASUBUHI
Mwanamuziki wa kizazi kipya Judith Wambura 'Jay Dee' akiwa na mumewe Gadner Habash wakisuburi kesi kutajwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kindondoni leo asubuhi saa 3, angalia picha zaidi
View ArticleNGWEA AFARIKI DUNIA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Albert Mangwea 'Ngwair' amefariki dunia leo akiwa Afrika ya Kusini ambapo alikwenda kufanya shoo maalum nchini humoTaalifa zilizopatikana jana zinaeleza...
View ArticleKIFO CHA NGWAIR CHAMSABABISHA KUAHIRISHA SHOO
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini akiwemo Mwana Fa, Izzo Business, pamoja na Kara Pina wamehairisha shoo zao ambazo zilikuwa zinatarajia kufanyika Mei 31 mwaka huu kwa sababu ya kifo...
View ArticleJAYDEE ATOA TAMKO LA KUTOFANYA SHOO ILI KUPISHA TARATIBU ZA MAZISHI YA NGWEA
Msanii mwa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura 'Lady Jayde' amesitisha shoo yake ya uzinduzi wa albamu yake ya 'Nothing but Trust' iliyokuwa inatarajia kuzinduliwa mwisho mwa wiki hii jijini Dar es...
View ArticleNGWAIR KUZIKWA MOROGORO
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Albert Mangwea 'Ngwair' kuzikwa mkoani Morogoro alipozikwa baba yake mzazi kwa mujiwa wa taarifa alizotoa kaka yake marehemu Ngwair
View ArticleMKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA BARAZA LA HABARI NA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA
Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Mathias Chikawe (katikati) katika ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la Habari Tanzania na Jukwaa la Wahariri Tanzania wenye kauli mbiu ya mwelekeo wa...
View ArticleCHANZO CHA KIFO CHA MSANII NGWAIR BADO HAKIJAFAHAMIKA
Habari zilizotufika hivi punde zinadaiwa hadi sasa chanzo cha kifo cha msanii Albert Mangwea bado hakijafahamika, mpaka siku tano mwili wake utakapofanyiwa uchunguzi ndipo taarifa rasmi zitatolewa kwa...
View ArticleVURUGU ZASABABISHA BUNGE KUHAIRISHWA
Kufuatia hotuba ya Wenje bungeni kutuhumu chama cha CUF kuwa ni chama cha kishoga, mbunge wa CUF amesimama na kuwaita chadema ni wehu, wahuni, wazushi, mashoga na kwamba wamekidharirisha chama...
View ArticleMWILI WA NGWAIR KUWASILI JUMAMOSI
Mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Albert Mangwea 'Ngwair' kuwasili Jumamosi nchini Tanzania kutoka Afrika Kusini ambapo siku ya Jumapili utaagwa jijini Dar es Salaam na kwenda kuzikwa...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA AWAPA CHANGAMOTO STARS
Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram Biswaro amewataka wachezaji wa Taifa Stars kuhakikisha wanaipeleka timu hiyo kwenye fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Brazil.Ametoa...
View ArticleTBL YAWAPA YANGA MIL.2.5/- KWA KUTWAA UBINGWA
WADHAMINI Wakuu wa timu ya Yanga Bia ya Kilimanjaro, jana wameikabidhi timu hiyo hundi ya sh.milioni 25 kama zawadi kwa timu hiyo kutwaa ubingwa msimu wa 2013/2014.Akikabidhi hundi hiyo, Meneja wa bia...
View ArticleMWILI WA NGWAIR KUANZA KUFANYIWA UCHUNGUZI LEO
MWILI wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Albert Mangwea 'Ngwair' umeanza kufanyiwa uchunguzi leo katika hospitali ya serikali ya Hillbrow iliyopo nchini Afrika Kusini ili kubaini chanzo cha...
View ArticleM TO THE P AFYA YAKE YAIMARIKA, ATOKA ICU
Kwa kupitia taarifa ya Millardayo ambaye yupo nchini Afrika Kusini alidai kuwa msanii Mganza Pembe 'M To The P' amepata nafuu na teyari ameshatoka katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na...
View ArticleNGWAIR AZIMA NDOTO ZA TID
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Khalid Mohamed 'Tid', amesikitishwa na taarifa ya kifo cha msanii mwenzake Albert Mangwea 'Ngwair' kwa kuwa walikuwa na mpango wakufanya mambo mengi hususani katika...
View ArticleMWILI WA NGWAIR KUWASILI KESHO NCHINI
MAMIA ya watanzania wanatarajia kuupokea mwili wa msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Albert Mangwea 'Ngwair' kesho katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ukitokea Afrika...
View ArticleUKWELI KILICHOTOKEA KATI YA PFUNK NA ADAM MCHOMVU
Jana jioni kuna habari za uzushi 'uongo' zilizokuwa zinasambazwa zikisema kuwa mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva Pfunk Majani amepigana na mtangazaji wa Clouds Media Group Adam Mchomvu maeneo ya...
View Article