$ 0 0 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego pamoja na Diamond platinum leo watakutana tena jukwaani Club Maisha ambapo wataimba kibao chao kinachotamba kwa kipindi hiki kinachojulikana kwa jina la Muziki Gani