Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA NGWAIR KUWASILI KESHO, WATANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINI KUMUAGA LEO

Mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Albert Mangwea 'Ngwair unatarajia kuwasili kesho mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika KusiniMwili huo ambao ulitakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI ATEMBELEA NYUMBANI KWA WAFIWA

Balozi wa Tanzania nchini  Afrika Kusini Radhia Msuya atembelea nyumbani kwa wafiwa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBANDA KUWASILI LEO

Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd na mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda natarajiwa kuwasili leo mchana saa 7 kamili.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI NCHINI

Mkazi wa Dar es Salaam, Kawe eneo la bondeni karibu na daraja akifanya biashara ya kuuza chenji ambapo chenji ya  shilingi elfu moja unalipa shilingi 100. Mkazi huyo sio tu anajukumu la biashara yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADHI YA PICHA ZA WASANII WALIOFIKA KUPOKEA MWILI WA MANGWEA

  ANGALIA PICHA ZAIDI NDANI ...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWEETS ZA WATU MBALI MBALI KATIKA MSAFARA WA NGWEA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBANDA AWASILI NCHINI

Kibanda baada ya kutua na kupokelewa na kundi kubwa la waandishi na wahariri wa vyombo mbalimbali akiongea na vyombo mbali mbali. Kibanda alishindwa kujizuia na kutokwa na machozi.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MANGWEA LEADERS CLUB TAYARI KUAGWA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMSUNG YAIBWAGA iPHONE MAHAKAMANI

Kamisheni ya kimataifa ya biashara ya Marekani (ITC) jana ilitupilia mbali malalamiko ya  kampuni maarufu ya Silicon Valley (Apple) kwamba iliingiliwa na wamiliki wa Samsung katika hatimiliki ya uwezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADHI YA WASANII NA WANASIASA WALIOHUDHURIA KUWAGA MWILI WA NGWAIR DAR ES...

 Diamond akitoa heshima za mwisho Baadhi ya wasanii wakitoa heshima za mwisho Mbunge wa Singida mjini akitoa heshima za mwisho Mbunge wa Kinondoni akitoa heshima za mwisho Diamond akifwatiria kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE : KUTOKA MOROGORO KWENYE MAZIKO YA NGWEA

MSANII DULLY SYKES ASUSA MAZISHIMWILI UMEONDOLEWA KUPELEKWA MAKABURINIATAZIKWA PEMBENI YA KABURI LA BABA YAKE Kaburi la Albert Mangwea likifanyiwa maandalizi, wakati mwili ukiwa njiani kuletwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: MAZISHI YA ALBERT MANGWEA

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele akimsikiliza producer Pfunk, katika eneo la Kihonda mahali atakapozikwa Albert Mangwea. Msanii ambaye ni rafiki yake wa karibu Marehemu Ngwea, M to P...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE MAKABURINI: PICHA ZA WASANII KWENYE MAZISHI YA NGWEA, KIHONDA

 Juma Nature akiwa na wasanii wengine wanasubiri jeneza liwasili katika makaburi Kihonda, Morogoro, chini ni Stara Thomas akiwa ni mmoja wa wasanii waliofiki Kihonda

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE MAKABURINI: LADY JAY DEE ATUMA TWEET KUFUATIA WINGI WA WATU

 Umati mkubwa wa watu ukisubiri kushusa jeneza la Marehemu Albert Mangwea, katika eneo la Kihonda Morogoro, dakika chache kabla ya mazishi kukamilika Juu ni tweet ya msanii Lady JayDee akitoa ushuhuda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA AMELAZWA ALBERT K. MANGWEHA - RIP

  Marehemu Ngwea ameshazikwa tayari, mashada ndio yanawekwa sasa

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: KHADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE

Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya kushoto akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: NDOA YA RAIS WA URUSI YAVUNJIKA HADHARNI

Rais wa Urusi Vladimir Putin na mkewe LyudmilaRais wa Urusi Vladimir Putin na mkewe Lyudmila waachana rasmi na mwisho wa ndoa yao kuwa wazi rasmi.Wawili hao, wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 30,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA MWISHO YA NGWAIR

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mez B ambaye ni mmoja wa rafiki wa karibu na msanii Albert Mangwea 'Ngwair' aliyebeba picha ya msanii huyo wakiingiza mwili wa marehemu katika kiwanja cha Jamuhuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBANDA AKUTANA NA WAHARIRI

 Mhariri Mtendaji wa Majira, Imma Mbuguni(kulia) akimpa pole Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Limited, Absalom Kibanda aliyekuwa Afrika Kusini kwa matibabu baada ya kupigwa na kuumizwa na watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADHI YA MASUPASTAA WALIOHUDHURIA UTOAJI WA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS...

 Chazy Baba akiwa na mkewake mtarajiwa jana kwenye usiku wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards zilizofanyika Mlimani City Dar es Salaam Mwana FA akifwatiria utoaji wa tuzo za Kilimanjaro music...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live