Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA BARAZA LA HABARI NA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA

$
0
0

Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Mathias Chikawe (katikati) katika ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la Habari Tanzania na Jukwaa la Wahariri Tanzania wenye kauli mbiu ya mwelekeo wa Tasnia ya Habari Tanzania katika muktadha wa kujisimamia wenyewe, mkutano wa pili unaofanyikia Nyumbani Hotels & Resorts, jijini Tanga. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Kajubi Mukajanga, na Kamimu Mwenyekiti wa Baraza la Wahariri Tanzania, Theophil Makunga. Mkutano huo unaendelea mpaka tarehe 30 mei,2013

Chini ni kundi la wahariri na wajumbe wanaohudhuria mkutano huo kwenye picha ya pamoja na Mh Waziri Mathias Chikawe, katika hoteli ya Nyumbani Hotels and Resorts, Tanga. 







Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles