NEWS ALERT: AIRTEL YAZINDUA DUKA KARIAKOO MSIMBAZI
Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa wateja Airtel Adriana Lyamba (katikati), akiangalia simu aina ya Bravo Z10 wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Airtel Express lililopo kariakoo mtaa wa msimbazi,...
View ArticleMWILI WA ASHA BAKARI WAWASILI Z’BAR, KUZIKWA LEO JANGOMBE
Ndege ya Shirika la Ndege la Qatar ikiwasili jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ikiwa na Mwili wa Marehemu Asha Bakari alifariki nchini Dubai akitokea matibabuni Nchini...
View ArticleJK ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI YA UHUSIANO WA KIMATAIFA
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika...
View ArticleAMIRI JESHI MKUU, RAIS MAGUFULI ASALIMIANA NA WANANCHI AKIELEKEA MONDULI
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Arusha, wakati akipita barabarani kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA)...
View ArticleZITTO ATIRIRIKA KUHUSU UTEUZI WA KAMATI ZA BUNGE KWENYE FACEBOOK
Mbunge Zitto Zuberi Kabwe (Kulia) muda si mere amefunguka kuhusu uteuzi wa wenyeviti wa kamati za kudzu za Bunge, katika mtandao wa Facebook. yafuatayo ndio aliyoandika kama inavyoonekana kwenye picha...
View ArticleMABEHEWA YA TRENI YAKWAMA JIJI DAR ES SALAAM LEO, YAACHA NJIA
Mabehewa ya treni inayofanya safari za jijini Dar es Salaam, yakiwa yameachwa katika makutano ya barabara ya Bibi Titi Mohammed na Mtaa wa Lugoda eneo la Gerezani, baada ya kuacha njia. Tukio hilo...
View ArticleRAIS SHEIN ATOA MKONO WA POLE KWA WAFIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU
JUU: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wa Serikali wakiuombea dua Mwili wa Marehemu Asha...
View ArticleKAMATI YA KURATIBU MISS TANZANIA YAJITOA KWENYE MASHINDANO
Msemaji wa Kamati ya Kuratibu Miss Tanzania Joketi Mwegelo akitoa maelezo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) namna Kamati hiyo ilivyokuwa ikijitahidi kubadili mfumo ili kubadilisha muonekano wa...
View ArticleTFF YATUMA SALAAM ZA POLE KWA KLABU YA PRISONS
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za rambi rambi kwa klabu ya Tanzania Prisons inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom kufuatia kifo cha Mwenyekiti wake Hassan...
View ArticleKOMBE LA SHIRIKISHO MZUNGUKO WA TATU
Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) unatarajiwa kuendelea wikiendi hii mpaka katikati ya juma lijalo kwa michezo 13 kuchezwa katika viwanja mbalimbali...
View ArticleWAZIRI KITWANGA: KAMATAMATA KWA RAIA WA KIGENI, HAITAGUSA WENYE VIBALI HALALI...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto), kwa kutoa hotuba nzuri iliyowafafanulia wachina waishio nchini kuwa Serikali ya...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA WAHITIMU MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Davis Mwamunyange wakati alipowasili katika chuo cha...
View ArticleUZINDUZI WA UHAMASISHAJI WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA MKOANI LINDI
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Jordan Rugimbana akiwa amembeba mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, mkazi wa Kata na Tarafa ya Nyangamala, Lindi vijijini,wakati wa uzinduzi wa uhamasishaji wananchi kujiunga na Mfuko...
View ArticleKAMPUNI YA ACACIA YAIKABIDHI SHS. MI.10.5 TIMU YA AMBASADOR F.C KAHAMA
Meneja Mkuu wa Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, Asa Mwaipopo (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 10,500,000 kwa katibu wa Timu ya mpira wa miguu...
View ArticleMASHINDANO YA MICHEZO YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU YAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR...
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Leonard Tadeo akikabidhi Jezi kwa moja ya timu zinazoshiriki katika mashindano ya michezo yanayohusisha...
View ArticleKAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA CHINI YA UENYEKITI WA SPIKA WA BUNGE
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Y. Ndugai (MB) akiongoza kikaoo cha Kamati ya Uongozi ya Bunge-Ofisi za Bunge Mjini Dodoma leo tarehe 24 Januari 2016. Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ni Wenyeviti wote wa...
View ArticleCHAMA CHA KARATE KILIMANJARO WAIOMBA SERIKALI KUUANGALIA MCHEZO HUO
Vero Ignatus - Moshi Kilimanjaro.Chama cha Karate Mkoa wa Kilimanjaro wanaiomba serikali kutupia macho kwenye mchezo huo kwani imekuwa ikiwasahau ukizingatia mchezo huo ni michezo kama ulivyo mingine...
View Article