Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

UMOJA WA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VISIVYO NA WABUNGE WAPINGA KURUDISHA MJADALA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI NA KUMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU NIDA.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam kuhusu uamuzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PESA ZIKO WAPI DUNIANI?

Viongozi mashuhuri duniani wanakutana Davos, Uswizi kujadili uchumi wa duniaKWA HISANI YA BBCViongozi mashuhuri duniani wanakutana mjini Davos kujadili uchumi wa dunia. Moja ya masuala watakayojadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU UCHAGUZI WA MBUNGE KATIKA JIMBO LA KIJITOUPELE – ZANZIBAR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIGH LEVEL MEETING FOR IDENTIFICATION OF EDUCATION PRIORITIES

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DTB YAUAGA MWAKA KWA STYLE YA KIPEKEE (PICHA)

Wafanyakazi wa Tawi la Benki ya DTB Makao Makuu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya tawi lao kupata tuzo ya Tawi Bora Tanzania 2015 kati ya matawi 24 ya benki hiyo ambapo 10 yapo Dar es Salaam na 14...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA UMMA WAHIMIZWA KUVAA BEJI ZIANAZOONESHA MAJINA YAO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (akiwa amevaa beji inayoonesha jina lake) amewahimiza watumishi wote katika Utumishi wa Umma kuvaa beji zenye majina yao kila wakati wa kutekeleza majukumu yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKONGWE ANUSURIKA KUFA KWA MOTO, KISA MTOTO WA MIAKA 6 ACHOMA MOTO NYUMBA

Na Mwandishi Wetu, TangaWATOTO wa  kiume wenye umri wa miaka sita majina tunalihifadhi amechoma moto nyumba yao yenye thamani ya zaidi ya shilingi million 300 kwa kutumia kibiriti hali iliyosababisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODABODA AMDANGANYA SHEMEJI YAKE, AMLAWITI

Na Mwandishi Wetu, TangaJESHI la polisi mkoani Tanga, linamshikilia mwendesha pikipiki maarufu bodaboda, kwa tuhuma za kumlaghai mke wa kaka yake kwamba anampeleka nyumba ya kulala wageni ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAOMBA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO

Na Jacquiline Mrisho - MAELEZOMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawaomba wananchi kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za Maafisa wanaofanya kazi kinyume na maadili.Akiongea na mwandishi wa habari hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO ZA AMANI AWARDS ZATAMBULISHWA KATIKA TASNIA YA MUZIKI, FILAMU NA HABARI

KULIA: Katibu Mtendaji wa Broad Based Intersect Organization (BBIO) Amani Joram Mgullo (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya utambulisho wa Tuzo mpya za AMAN AWARD katika...

View Article

TAARIFA YA UFAFANUZI TOKA JESHI LA POLISI KUHUSU ASKARI WAKE KUJILIPIA UMEME

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODABODA ARUSHA WAIOMBA SERIKALI KUONDOA UTATA KATI YAO NA WAENDESHA PIKIPIKI

Waendesha pikipiki wakiwa mbele ya ofisi ya Mkuu wa mkoa.Na Vero Ignatus , Arusha.Chama cha waendesha bodaboda Jijini Arusha ( UWAPA) chaiomba serikali kutatatua utata uliopo kati ya waendesha bodaboda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM, SIMBA, YANGA ZAFUZU 16 MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO

Timu za Azam FC, Simba SC, Yanga zimeungana na timu zingine saba kufuzu kwa hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa nne utakaochezwa mwishoni mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWESIGWA AFUNGUA KOZI YA NGAZI YA JUU KWA WANAWAKE

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Mwesigwa Selestine leo amefungua kozi ya ngazi ya juu ya ukocha kwa wanawake (High Level Coaching Course) iliyoandaliwa na TFF kwa kushirikiana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIWATA KUMPATIA MBWANA SAMATTA EKARI TANO KUJENGA KITUO

Na Mwandishi Wetu, MkurangaMtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeamua kumpa uanachama wa heshima mchezaji bora wa Afrika, Mbwana Samatta pamoja na kumzawadia ekari tano za ardhi katika kijiji cha...

View Article

SERIKALI KUANZISHA VYUO VYA VYA UVUVI KUONGEZA UJUZI KWA VIJANA

Na Raymond Mushumbusi MAELEZOSerikali imekusudia kuanzisha Vyuo vya Uvuvi katika maeneo yote yanayozungukwa na bahari ili kuwafundisha vijana mbinu sahihi za kufanya shughuli za Kilimo,Mifugo na Uvuvi...

View Article


NAFASI ZA KAZI NA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UTAMADUNI WA WACHINA

MAELEZOWaziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Jumamosi ijayo (30.01.2016) anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kusherehekea mwaka mpya wa Kichina.Mwambata wa utamaduni katika ubalozi wa Jamhuri ya...

View Article

TARIFFA YA POLISI KUHUSU MAANDAMANO YA WAENDESHA BODABODA ARUSHA

Na Lilian Lundo – Maelezo.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Liberatus Sabas amekanusha habari iliyoandikwa na gazeti la Jambo Leo la Januari 27, 2016 lenye kichwa cha habari “Waendesha bodaboda...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live