Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

AMIRI JESHI MKUU, RAIS MAGUFULI ASALIMIANA NA WANANCHI AKIELEKEA MONDULI

$
0
0


Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Arusha, wakati akipita barabarani kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) kilichopo Monduli. Kati ya mambo ambayo atafanya akiwa Monduli ni pamoja na kutunuku Kamisheni kwa Maofisa wanafunzi wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi, Monduli ambalo ni kundi la 57/15.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles