NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI ZANZIBAR.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad Masauni, akisalimiana na Maofisa wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakati wa ziara yake kutembelea Idara hiyo ya Uhamiaji Zanzibar.kushoto Mkuu wa Idara ya Uhamiaji...
View ArticleDIAMOND TRUST BANK YAPANIA KULINDA MAZINGIRA IRINGA
Na ImmaMatukioBENKI ya Diamond Trust Tanzania, imedhamini shughuli ya upandaji miti katika Wilaya ya Iringa iliyopo mkoani Iringa kwa kuchangia sh. milioni tano. Wilaya ya Iringa imeanza rasmi kupanda...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)MH. SULEIMAN...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) KULIA PICHANI, Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea,taarifa zinaeleza kuwa baada ya...
View ArticleKAMATI YA BUNGE LA EAC LAKUTANA KUJADILI BURUNDI (PICHA)
Kamati ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) ilikutana na mashirika mbalimbali kwa lengo la kutafuta namna ya kushirikiana kutatua migogoro mbalimbali ya mauaji nchini Burundi. Mkutano huo...
View ArticleTINGATINGA LASAWAZISHA MKWAJUNI LIKIWA CHINI YA ULINZI MKALI
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa, Mtaa wa Ananasifu, Deogratias Mogela akizungumza na waandishi wa Habari (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Moja ya banda lililochomwa moto na kudaiwa kuokolewa mtoto Braiton...
View ArticleASKOFU ATAKA TUMWOMBE MUNGU APUNGUZE JOTO NCHINI
MaelezoMwenyekiti wa Good News for All Ministry, Askofu Charles Gadi(PICHANI) ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kumuomba Mungu dhidi ya hali ya hewa ya joto kali nchini. Askfou huyo ameyasema hayo...
View ArticleTANESCO YAFAFANUA MADAI YA WAKAZI WA SESEKO, SHINYANGA
MAELEZO.SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) limetolea ufafanuzi kuhusu malalamiko ya Wakazi wa kijiji cha Seseko Kata ya Mwamalili mkoani Shinyanga.Ufafanuzi huo umetolewa leo Jijini Dar es...
View ArticleTAARIFA YA UCHAGUZI WA JIMBO LA KIJITOUPELE DHIDI YA MWANAHALISI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKUHUSU UPOTOSHWAJI WA TAARIFA ZILIZOANDIKWA NA GAZETI LA MWANAHALISI KUHUSIANA NA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KIJITOUPELETume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inapenda kutaarifu...
View ArticleUZINDUZI JUMUIYA YA VETERANI WA UMOJA WA VIJANA ZANZIBAR
Maveterani wa Umoja wa Vijana wa Young Pioneers wakipiga makofi wakati wa kuingia mgeni rasmin Mhe Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee kwa ajili ya uzinduzi wa Jumuiya hiyo kuendeleza Vijana...
View ArticleISLAMIC STATE WATHIBITISHA JIHAD JOHN ALIUAWA
Kundi la Islamic State limethibitisha kwamba mwanamgambo aliyetafutwa sana na mataifa ya Magharibi, aliyejulikana kama Jihadi John, alifariki. Kundi hilo limetangaza kifo chake kwenye jarida lake la...
View ArticleTAMKO LA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA
TAMKO LA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA(SHIVYATIATA)KUHUSU MAELEZO YA WAZIRI WA AFYA ALIYOYATOA TAREHE 15/01/2016, JUU YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA.Ndugu waandishi wa Habari na ndugu...
View ArticleUBALOZI WA PALESTINE YATOA TAARIFA DHIDI YA ISRAELI
مركز المعلومات الفلسطيني- تنزانياPalestine Information Centre (Tanzania)Kituo cha Habari cha Palestina (Tanzania)Press Release 19 January...
View ArticleJAJI LUBUVA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA NEC
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji Mstaafu Damian Lubuva amewataka Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa NEC kuboresha mazingira ya kazi na kuongeza ufanisi ikiwemo kuzingatia...
View ArticleNO BAN ON MINISKIRTS BY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI
Press Release-no Ban on Miniskirts by imma
View ArticleRAIS MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI SEIF ALI IDD
Rais Magufuli Akutana Na Balozi Seif Ali Idd-4-2 by imma
View ArticleSERIKALI YAKANUSHA HABARI ZINAZOSAMBAA KWENYE MITANDAO KUHUSU WAGENI
SERIKALI KANUSHA UZUSHI by imma
View ArticleJPM AMSIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana...
View ArticleRAIS DKT JOHN MAGUFULI AONESHA UMAHIRI WA USHONAJI
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini...
View ArticleNHIF YAKABIDHI KADI ZA MATIBABU KWA WANACHAMA WA TBN
Meneja wa Mfuko wa Afya ya Jamii, Slivery Mgonza akimkabidhi Mwenyekiti wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii (Bloggers-TBN) kadi za Bima ya Afya kwa baadhi ya wanachama wa TBN. Meneja wa Mfuko wa Afya ya...
View Article