RAIS KIKWETE ASHUHUDIA MAFURIKO ALIPOTEMBELEA MAENEO YALIYOADHIRIKA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya abiria waliokwama bada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.Pichani Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi...
View ArticleAZAM FC YATWAA UBINGWA LIGI KUU TANZANIA BARA 2013/2014
Leo mwiko umevunjwa na watoto wa Chamanzi, Azam Fc wanalambalamba wa Bakhresa, tupia maoni yako chini hapo tafadhali, unaonaje mabadiliko haya. . .
View ArticleBRAND NEW RELEASE: WAGOSI WA KAYA - GAHAWA [Official Music Video]
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI . . .SHUKA CHINI UTOE MAONI YAKO TAFADHALI . . .
View ArticleMAGAZETI LEO 14/04/2014, NI MADHARA YA MVUA,GURUMO AFARIKI, AZAM BINGWA 2013/14
TAFADHALI TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI. . .
View ArticleBRAND NEW RELEASE: T.I.D ft PROF JAY-RAHA (Official Video)
GONGA CHINI KUONA VIDEO. . .DONDOSHA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HII VIDEO. . .
View ArticleBREAKING NEWS: MLIPUKO MKUBWA WATOKEA BAR
Taarifa zilizotufikia jana zimesema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa katika bar moja jijini Arusha, mlipuko huo unaodaiwa kuwa ni bomu umesababisha watu wawili kupoteza maisha, na wengine wengi kujeruhiwa...
View ArticleTATTOOS, WANAOPENDA KUJICHORA ANGALIA HII NA WEWE JARIBU
SHUSHA MAONI YAKO CHINI HAPA. . .
View ArticleBUNGE MAALUMU KUCHANGIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO ZAIDI YA SH.180 MILIONI
Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma limeridhia kuchangia waathirika wa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali zinazoendelea.Hoja hiyo ilitolewa na Mbunge na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais...
View ArticleATHARI ZA KUTISHA ZA MVUA BARABARA YA KILWA ENEO LA KONGOWE
Wakazi wa eneo la Kongowe wakiangalia sehemu ya madhara yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea nchini na hivi ndivyo daraja lilivyokatika na kusababisha msongamano na kushindwa kupitika katika...
View ArticleSARAKASI BUNGENI: MBOWE AMWAGA MAKONDA BUNGENI
Wakati Bunge Maalumu la Katiba linaendelea mjini Dodoma, Mwenyekiti wa Kundi la Wachache, Mh.Freeman Mbowe akitoa maoni ya wachache mbele ya Mwenyekiti wa Bunge hilo Samweli Sitta, alimtaja Makonda...
View ArticleMAGAZETI LEO 15/04/2014; HATI YA MUUNGANO YAWEKWA HADHARANI
MWAGA MAONI YAKO CHINI HAPA. . .
View ArticlePAPA FRANCIS AOMBA RADHI KWA WATOTO KUDHALILISHWA KINGONO
Ijumaa iliyopita Papa Francis alikaririwa akisema anajisikia kuwajibika kwa vitendo vya kingono walichofanyiwa watoto ambavyo vimelichafua kanisa katoliki, na hivyo kuomba radhi. Papa alitoa tamko hilo...
View ArticleJINAMIZI LA MAFURIKO BADO LINAIANDAMA DAR ES SALAAM…ONA PICHA HIZI
Juu na Chini: Magari mawili yakiwa yameingia mtaroni baada ya utelezi wa mvua zilizo kuwa zinanyesha katika barabara ya Kilwa eneo la Mbagala, jijini Dar es Salaam Mafuriko ya mvua kali bado yanaitesa...
View ArticleINATISHA SANA: JAMAA WANAKULA WATU, ANGALIA USIJE UKIGEUZWA SUPU
Nchini Pakistan Polisi wamewakamata wanaume wawili kwa makosa ya kuiba maiti ya mtoto kutoka kaburini na kisha kumla. Wawili hao Arif Ali na kaka yake Mohammed Farman Ali waliachiwa huru baada ya kuwa...
View ArticleBREAKING NEWS: BENKI YA BARCLAYS YAVAMIWA NA MAJAMBAZI LEO
BREAKING NEWS: Taarifa zilizotufikia hivi punde zimesema kuwa watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo...
View Article