HAYA NIO BAADHI TU MAKOMBE AMBAYO BUSINESS TIMES LIMITED IMESHINDA HIVI KARIBUNI
Mtoto Charity Namembe, mtoto wa mchezaji wa Timu ya Buzzie Queens, Johari William akiwa ameshikilia kombe la netball waliloshinda katika mashindano ya NSSF2014Kutoka kushot ni kombe la NSSF2014(mpira...
View ArticleMVUA INAVYOTISHIA AMANI DAR ES SALAAM, ANGALIA MAFURIKO HAYA
Nyumba zilizoko eneo la Jangwani, Manispaa ya Ilala pembezoni mwa barabara ya Morogoro, zikiwa zimezama katika maji yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salam na nchi nzima....
View ArticleNEW MUSIC: VIDEO QUEEN DARLEEN - WANATETEMEKA FT SHILOLE
ANGALIA VIDEO, BOFYA CHINI. . .
View ArticleZITTO AWAJIBU RAIS KIKWETE NA JAJI WARIOBA, SOMA HAPA. . .
Majibu kwa Malalamiko ya Warioba na Hofu za KikweteNa Zitto KabweTANGU kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), nimekuwa mkimya kuliko nilivyozoeleka katika maisha yangu ya kisiasa. Watu wengi...
View ArticleHII NDIO HOTUBA YOTE YA TUNDU LISSU ILIYOKATISHWA TBC (ONYO: NI NDEFU SANA)
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum,...
View ArticleMAFURIKO YA KUTISHA DAR: TUNAENDELEA ANGALIA MAENEO MBALIMBALI
Mbagala huko daraja lilipokata Mshkaji kamdondosha mteja kwenye maji, ndio kichapo kikaanza Pale Mayfair pale…sasa hivi mwenye boti ndio mshindi wa kila kitu Hapa hata sijui niseme nini. . .! afadhali...
View ArticleMUSIC VIDEO : TIMAYA FT SEAN PAUL - BUM BUM REMIX (OFFICIAL VIDEO)
BOFYA CHINI HAPA KUANGALIA VIDEO. . .
View ArticleBREAKING NEWS: MBEYA MABOMU YARINDIMA, SOMA HAPA
Vurugu kubwa zimetokea mkoani Mbeya baina ya Jeshi la Polisi na waendesha bodaboda(pikipiki) baada ya jeshi la polisi kutaka kuzima jaribio la kutaka kuvunja nyumba.Boda boda hao walifunga barabara na...
View ArticleMKE WA RAIS WA KENYA KUSHIRIKI MBIO ZA LONDON MARATHON LEO
Taarifa zilizotufikia kutoka BBC London zimesema kuwa mke wa rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Margaret Kenyatta(Pichani kulia) yuko London, lakini sio kwaajili ya ziara na matembezi ya kiofisi, Margaret...
View ArticleNDOA YA MTOTO WA RAIS WA NIGERIA, WAGENI WAPEWA IPHONE ZA DHAHABU
Ndoa ya mtoto wa kwanza wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan,Faith Jonathan aliyofunga ndoa na mpenzi wake Godswil Osim Edward harusi iliyofanyika jana katika ukumbi wa Abuja Ecumencial Centre, jijini...
View ArticleBREAKING NEWS: MAKAMU WA RAIS, MAGUFULI, MKUU WA MKOA DSM NA KOVA WANUSURIKA...
Taarifa zilizotufikia hivi punde zimesema kuwa Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilal alipokuwa akikagua uharibifu ulifanywa na mvua kubwa zinazoendelea Dar es Salaam katika maeneo mbalimbali,...
View ArticleMASKINI AGNESS MASOGANGE YAMKUTA YALIYOMKUTA LULU. . .SOMA HAPA
Kumezuka tabia ya watu kutumia au kufungua account za masuper star kufanya mambo yao, kama Immamatukio ilivyoripoti muda si mrefu kuhusu malalamiko aliyotoa msanii wa Bongo Moives, Elizabeth Michael...
View ArticleMAAFA YA MVUA YANAZIDI KUONGEZEKA , ONA HALI ILIVYO MBAYA
Uwanja wa ndege huo, Precision Air ndio imetua, sijui unatokaje kwenye ndege hapo Nyumba imekatwa na maji kama unavyoona hapo juu.Njia ya Morogoro nayo imesimama hakuna kinachoendelea
View ArticleBREAKING NEWS : MUHIDINI GURUMO AMEFARIKI DUNIA
REST IN PEACE MUHIDINI MAALIM GURUMO Taarifa zilizotufikia toka Hospitali ya Taifa Muhimbili zimesema kuwa Muhidini Maalim Gurumo amefariki dunia akiwa hospitalini hapo leo April 13 2014 saa nane...
View ArticleMR.NICE ANUSURIKA KUFA KATIKA AJALI YA BODABODA JANA
Mr Nice amepata ajali jana akiwa na abiria mwenzake ndani ya bajaji. imedaiwa mwenzie aliyekuwa naye amefariki dunia.Mr. Nice ambaye ni mkongwe na aliwahi kuwa maarufu sana katika muziki wa Afrika...
View Article