Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

SARAKASI BUNGENI: MBOWE AMWAGA MAKONDA BUNGENI

$
0
0
Wakati Bunge Maalumu la Katiba linaendelea mjini Dodoma, Mwenyekiti wa Kundi la Wachache, Mh.Freeman Mbowe akitoa maoni ya wachache mbele ya Mwenyekiti wa Bunge hilo Samweli Sitta, alimtaja Makonda kuwa ni mmoja wa watu wasioeleweka.

Mbowe alimgeuka Makonda bungeni, akidai kuwa huwa anawauunga mkono kwa yale ambayo wanafanya ndani ya bunge. Mbowe anadai kuwa wakiulizwa kwanini wao hawasemi ndani ya bunge, wao hujibu kuwa wanaogopa kushughulikiwa.


Mh. Paulo Makonda aliomba kutoa taarifa, na aliporuhusiwa alimtaka Mh. Mbowe kumtaja mnafki mmojawapo. Mbowe alisema “nitamtaja mmoja tu, mtu huyo ni Makonda” kisha akaendelea na hotuba yake.


MWAGA MAONI YAKO HAPA CHINI. . .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles