Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

RAIS KIKWETE ASHUHUDIA MAFURIKO ALIPOTEMBELEA MAENEO YALIYOADHIRIKA

$
0
0

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya abiria waliokwama bada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.Pichani Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi na mtoto aliyemfuata na kumsalimia.


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wakikagua athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga.


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu Darajani leo.Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko hayo


NDUGU MSOMAJI, TOA MAONI YAKO CHINI TAFADHALI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles