Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

JINAMIZI LA MAFURIKO BADO LINAIANDAMA DAR ES SALAAM…ONA PICHA HIZI

$
0
0

Juu na Chini: Magari mawili yakiwa yameingia mtaroni baada ya utelezi wa mvua zilizo kuwa zinanyesha katika barabara ya Kilwa eneo la Mbagala, jijini Dar es Salaam




 Mafuriko ya mvua kali bado yanaitesa Dar Es Salaam, hili ni eneo linalouza tiketi za mabasi yanayokwenda mikoani, haswa kusini mwa Tanzania, likiwa limezingirwa na maji na kusababisha ugumu wa wananchi kupata huduma hiyo, eneo la Mbagala Mwisho.
TAFADHALI TOA MAONI YAKO HAPO CHINI. . .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles