MKUU WA WAUZA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AKAMATWA
Kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya nchini kimemkamata muuza dawa za kulevya nchini aliyekuwa anatafutwa muda mrefu. Ally Khatibu Haji (44) maarufu kwa jina la Shikuba, alikamatwa katika...
View ArticleNI LUPITA NYONG'0 TENA, AZOA OSCARS NYINGINE TENA
Lupita Nyon'go azoa Oscar live leoKama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscar la mwigizaji msaidizi wa kike kwa jukumu lake la kuelezea...
View ArticleCHRIS BROWN KUTAKA KUMBWAGA DEMU WAKE, KISA RIHANNA
Chris Brown ameripotiwa kumbwaga mpenzi wake Karrauche huku akidaiwa kutaka kurudiana na mpenzi wake wa zamani, msanii maarufu Rihanna. Ripoti zinasema kuwa hii ilitokana na wivu ambao Chris ameshindwa...
View ArticlePICHA ZA UTUPU ZA MSICHANA WA CHRISTIANO RONALDO NA R.KELLY
Girlfriend wa Christiano Ronaldo, Irina Shayk akiwa katika pozi la uchi na msanii maarufu wa muziki wa R&B R. Kelly katika gazeti la V.Magazine. watu wengi wanajiuliza maswali kuhusiana na hali hii...
View ArticleMKONGWE WA SOKA, KANU AFANYIWA UPASUAJI WA MOYO
Mcheza soka na super star wa Nigeria ambaye pia ni mwanzilishi wa KANU HEART FOUNDATION (KHF), Nwankwo Kanu, ambay pia ni Balozi wa Hisani wa UNICEF, amefanyiwa upasuaji wa moyo nchini Marekani katika...
View ArticleKESI YA OSCAR PESTORIUS IMEANZA LEO
Kesi dhidi ya bingwa wa mashindano ya Olimpiki kwa wanariadha walemavu kutoka Afrika Kusini, Oscar Pestorius, inaanza leo. Anatuhumiwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp mwezi FebruarI mwaka...
View ArticleFASHIONISTAS; HIKI NI KIATU AU SILAHA, USIGOMBANE NAE HUYU
Kina dada mnaopenda fashion, hapo mnasemaje? tupia comment chini hapo
View ArticleMWANAUME SHOGA AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO UGANDA
Ni muda mfupi tu toka Uganda ipitishe sharia ya kupinga ushoga, imeripotiwa mtu mmoja aliyetuhumiwa kuwa shoga alichomwa moto mpaka kufa nchini humo. CNN imeripoti tukio hilo ambalo jina la mtu (KULIA...
View ArticleSITTA APITISHWA CCM KUWANIA UENYEKITI BUNGE LA KATIBA
Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempitisha aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano na sasa Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kugombea Uenyekiti wa Bunge Maalumu la...
View ArticlePAPA FRANCIS "ATUKANA" KWENYE MISA TAKATIFU
Wakati anaendesha misa takatifu mjini Vatican, Papa Fancis kwa bahati mbaya alijikuta akitukana na kutumia neno ‘F***’ (likimaanisha Kuto**ba) kwa lugha ua kiitaliano na haraka kurekebisha usemi...
View ArticleBRAND NEW RELEASE : BDT IS THE NEXT BIG THING
Kundi jipya la muziki wa kizazi kipya linaliloundwa na vijana wenye vipaji tofauti. BDT ikiwakilisha majina yao yaani BSkills, Dunga and Trust wametoa single yao ya kwanza kama kikundi ijulikanayo kama...
View ArticlePICHA YA LEO: CHATU AMMEZA MAMBA MZIMA MZIMA, ANGALIA HII
Chatu alipommeza mamba mzima mzima katika aiwa Moondarra karibu na Mlima Isa juzi 2,machi, 2014 huko Queensland, Australia. Mpiga picha anadai kuwa walisumbuana sana (nyoka huyo na mamba) lakini joke...
View ArticleFASHIONISTAS: NYOKA WANAVYOGEUZWA KUWA MIKOBA ILI UPENDEZE
Je unatumia bidhaa kama mikanda, mabegi, viatu na wakati mwingine nguo zinazotumia ngozi ya nyoka, leo nakuletea picha hapa uone jinsi nyoka wanavyouawa na kuchunwa ngozi ili wewe upendeze.Kuna njia...
View ArticleMABIGI: LIVE 50CENT ADAI DIDDY NI SHOGA, AWEKA MAMBO HADHARANI
50Cent alianzisha bifu na Diddy alipojaribu kuingia mkataba na msanii Mase na Diddy akakataa akidai kuwa Mase bado ana mkataba naye. Mase ambaye alitaka kuachana na mkataba wake ili kuwa mchungaji,...
View ArticleTECHNOLOGY: NDEGE HAINA MADIRISHA, INA MWENDO MKALI KULIKO SAUTI
Hii ndege inakwenda spidi kuliko sauti, inamvuto wa kipee ndani, in a screen kubwa ya tv na inatarajiwa kuwa tayari mwaka 2020. angalia picha zaidi ANGALIA ZAIDI...
View ArticleASHAMBULIA POLISI KWA MAPANGA, WANANCHI WAMKATAKATA NA KUMUUA
Butiama.Mtu mmoja ameuawa na wananchi kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kuwavamia askari polisi katika kituo cha polisi cha Butiama mkoani Mara.Kaimu Kamanda wa polisi mkoani Mara Paulo Kasabago...
View ArticleASHAMBULIWA NA KIBOKO NA KUUAWA
BUNDA.Mwanaume mmoja, Mukoba Juma mkazi wa Kijiji cha Guta B wilayani Bunda mkoani Mara ameshambuliwa na kuuawa na Kiboko katika ufukwe wa Ziwa Victoria wakati akifanya shughuli za uvuvi.Mwenyekiti wa...
View Article