MAHAKAMANI KWA KUMBAKA MWANAMKE MWENYE ULEMAVU
Tunduru,Kijana wa miaka 18 mkqazi wa Kijiji cha nakapanya Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma Abdalah Yusuph amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi wa Mahakama ya Wilaya hiyo kujibu tuhuma za kumbaka...
View ArticleFACEBOOK KUJIIMARISHA KWA NDEGE ZISIZOKUWA NA RUBANI
Mmiliki wa facebook, mtandao wa kijamii mkubwa kuliko yote duniani, Mark Zuckerberg akiwa katika mkakati wa kutimiza lengo lake la kuunganisha dunia, sasa anadaiwa kufikiria kutumia ndege zisizokuwa na...
View ArticleMAKUBWA: MCHUNGAJI ATAKA WAUMINI WAJE KANISANI BILA NGUO ZA NDANI
Mchungaji Njohi wa Kenya sio tu amewashangaza watu lakini pia ameacha maswali mengi kuhusu imani za watu na kuhusu mwelekeo mzima wa imani na dini kwa ujumla.Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Post la...
View ArticleUKISTAAJABU YA MUSA: MAHAKAMA "KUCHUNGULIA NGUO ZA NDANI SIO KOSA"
Mahakama moja imeatoa uamuzi kuwa kupiga picha watu za nguo za ndani kwa kupiga chabo (utaratibu unaojulikana kama “upskirting”) bila ridhaa ya mhusika sio kosa kisheria wakati akijibu suali muendesha...
View ArticleWHO - PUNGUZENI SUKARI, INA MADHARA MAKUBWA KIAFYA
Shirika la Afya Duniani WHO limepunguza kwa nusu kiwango cha sukari kilichopendekezwa kwa matumizi ya binadamu ili kuepusha matatizo ya kiafya kama vile kunenepa kupita kiasi na meno kuoza.Mswada mpya...
View ArticleKENYA NAO WAANZA KULILIA SHERIA KALI DHIDI YA USHOGA
Mbunge Irungu Kang’ata anaongoza juhudi za kundi lililoundwa majuzi la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya. Sheria zilizopo zasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu...
View ArticleHATARI: ACHINJA MTOTO, AJISALIMISHA POLISI, MTOTO APONEA KIFO
ShinyangaMtoto mwenye umri wa miaka 12 anayesoma darasa la tatu katika shule ya msingi Majengo wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, Said Joshua amenusurika kifo baada ya baba yake mzazi kujaribu...
View ArticleHUYU JAMAA NDIO PHOTOCOPY YA RAIS OBAMA, ONA WANAVYOFANANA
Ilham Anas mwenye umri wa miaka 40 raia wa Indonesian, ambaye pia ni mpigapicha kwakweli haipingiki, anafanan na Rais wa Marekani, Barack Obama kama anavyoonekana pichani Kulia.
View ArticleKIJANA AJITOKEZA NA KUDAI KUWA MTOTO WA MICHAEL JACKSON, ANGALIA VIDEO YAKE
Brandon Howard(PICHANI KULIA), mwenye umri wa miaka 31, mtoto wa mwanamuziki wa miondoko ya R&B Miki Howard, amedai kuwa mtoto wa mwanamuziki mkongwe na mfalme wa pop Michael Jackson na kwamba ana...
View ArticleYANGA Vs AL AHLY KUCHEZA JUMAPILI UWANJA UWANJA USIO NA MASHABIKI
Wachezaji wa timu ya Yanga, Hamisi Kiiza(kushoto) na Emanuel Okwi wakisubiri kona ambao ilisababisha goli pekee la Yanga katika mechi iliyochezwa dhidi ya Al ahly ya Misri katika uwanja wa taifa jijini...
View ArticleMWANAMKE ANYIMWA URITHI KISA ANAISHI NA VVU
ArushaVitendo vya kuwanyanyapaa na kutowathamini waathirika wa ugonjwa wa ukimwi miongoni mwa jamii na wanandugu bado ni tatizo kubwa hapanchini,ambapo mwanamke mmoja mkazi wa Kimandolu jijini hapa,bi...
View ArticleURUSI YASUSIWA MICHEZO YA OLYMPIC YA WALEMAVU
Wanasiasa na watu maarufu duniani wamesema hawatahudhuria mashindano ya Olympic ya walemavu 'Paralympic' ya majira ya baridi nchini Urisi yaliyopangwa kufanyika katika mji wa Sochi kutokana na hatua ya...
View ArticleDAVID BECKHAM KUUZA MAGARI CHINA, GARI YENYEWE HII HAPA
Jaguar inazindua kampeni yake katika soko la China ili kuuza model yake mpya, ili kufanikiwa imeamua kushirkiana na David Beckham .
View ArticleYANGA IMEKUFA KISHUJAA ALEXANDRIA DHIDI AL AHLY
Timu ya Yanga African imetolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa Afrika kwa mikwaju ya penaltI katika mechi baina yake na Al ahly ya Misri ikiwa ni mechi ya marudiano iliyochezwa jijini...
View Article