MATUKIO YA WIKI KATIKA PICHA, ANGALIA HAPA UJIONEE
 Mashindano ya Olympic msimu wa baridi yamefungwa rasmi jana, huko Urusi, ambapo Urusi ndio imeongoza kwa kuzoa medali nyingi. Hapa mshiriki kutoka Marekani nguo yake ikiwa imechanika wakati wanaanza...
View ArticleAVUA NGUO YAKE YA NDANI NA KUFANYA VITUKO HADHARANI
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, watu walipigwa na butwaa katika msiba wa muendesha magari maarufu nchini Afrka Kusini, Bongani Makhubo (40).Katika msiba huo waendesha magari waliamua kupiga misele,...
View ArticleLIVE JIBABA LINAPOKULA BAKORA KWA UZINZI
Kijana mmoja wa kiislamu, Mallam Sanusi (pichani) alicharazwa bakora 24 kwa madai ya kulala na mwanamke ambaye hajaolewa. Kijana huyo alidaiwa kuzini jambo ambalo ni kosa katika jamii na linaadhibiwa...
View ArticleDUH: ANGALIA MWANAFUNZI AKIFANYA MTIHANI NA NDUMBA
Piga picha we ndo msimamizi wa mtihani, unafanyaje hapo..? Mwanafunzi akiwa katika mtihani, safari hii na nyezo tofauti, kama anavyoonekana akiwa ameshikilia pembe yenye kitambaa chekundu.
View ArticleMAMBO YAMEANZA: MAREKANI YAANZA KUITAFAKARI UGANDA
Marekani haikufurahishwa na hatua ya Uganda kuidhinisha sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.Waziri wa mashauri ya Kigeni wa Marekani, John Kerry amesema tangu Uganda iidhinishe mswada huo miaka...
View ArticleUHALIFU WA KUTEKWA WATOTO NA KUUAWA JIJINI DSM, WAZAZI, WALEZI KUWENI MAKINI
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuhusu ujumbe unaozunguka kwenye mitandao pamoja na ile ya kijamii, ikiwa ni pamoja na simu za mikononi kuhusu utekaji watoto jijini Dar es Salaam.Ujumbe huo...
View Article22 WAITWA TAIFA STARS KUIKABILI NAMIBIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA dhidi ya Namibia (Brave Warriors)...
View ArticleHUYU DADA ANAJIVUNIA NDEVU, ANA NYINGI KULIKO WANAUME
Siku hizi suala la kina mama kuwa na ndevu ni jambo la kawaida, lakini hii inashangaza kuona mwanamke ana ndevu nyingi kuliko mwanaume. Â Harnaam Kaur ni msichana wa miaka 23, mwalimu nchini Uingereza,...
View ArticlePICHA YA KWANZA YA ROSE NDAUKA AKIWA NA MTOTO WAKE SIKU 9 BAADA YA KUZALIWA
Msanii maarufu nchini wa filamu, Rose Ndauka akimbusu mtoto wake aliyepewa jina la Naveen alipokuwa na umri wa siku 9 baada ya kuzaliwa. Hivi karibuni Familia ya Malik ambaye ni baba wa Naveen...
View ArticleMAJANGA: ORODHA YA MASHOGA 200 YAWEKWA ADHARANI
Siku chache tu baada ya Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museven kusaini ili kuidhinisha sharia mpya ya kupinga ushoga na shughuli zinazohusiana na ushoga, gazeti moja nchini humo limechapisha orodha ya...
View ArticleMTOTO WA RAIS MUSEVEN "AJITANGAZA" KUWA SHOGA
Katika vita isiyokuwa ya kawaida, mtoto wa Rais Yoweri Kaguta Musseveni, amekubali katika mahojiano na redio huko Mbarara, magaribi ya Uganda uwa anajihusisha na ushoga, na kwamba anatangaza hivyo ili...
View Article