Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

BRAND NEW RELEASE : BDT IS THE NEXT BIG THING

$
0
0

Kundi jipya la muziki wa kizazi kipya linaliloundwa na vijana wenye vipaji tofauti. BDT ikiwakilisha majina yao yaani BSkills, Dunga and Trust wametoa single yao ya kwanza kama kikundi ijulikanayo kama "We Run The Streets" yenye video ambayo inafanya vizuri ndani na nje ya nchi.

Katika video hiyo wamewashirikisha watu maarufu kama Jackline Wolpa na Agnes Massogange. BDT wanajiandaa kutoka na surprise nyingine hivi karibuni. Endelea kufuatilia kupitia Imma Matukio Blog ujue zaidi.

keep it locked.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles