WAREMBO REDD'S MISS KILIMANJARO WAINGIA KAMBINI
JUMLA ya warembo 12 wa Redd's Miss Kilimanjaro wameingia kambini kwa ajili ya kujianda na kinyang'anyiro hicho kinachotarajiwa kufanyika Juni 15, mwaka huu.Warembo hao wameweka kambi katika hoteli ya...
View ArticleSTARS WATUA DAR, KOCHA ALIA NA MWAMUZI
TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars, imerejea nchini jana asubuhi ikitokea Marrakesh, Morocco walikoenda kucheza mchezo wao wa Kundi C kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil...
View ArticleKALA JEREMIAH KUMUENZI NGWAIR KWA TUZO
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Kala Jeremiah ameamua kumuenzi aliyekuwa msanii wa hip hop, Albert Mangwea 'Ngwair' aliyefariki Mei 28 mwaka huu nchini Afrika Kusini kwa kutoa tuzo yake...
View ArticleJUSTIN BIEBER AWEKA BRA KWENYE INSTAGRAM!
ATIMULIWA KLABU BILA KUTEGEMEA Justin Bieber(JB) kwa uhakika si mtoto tena, sasa hivi ana mashabiki mpaka wengine wanamtupia brazia (JUU PICHANI) jukwaani. JB mwenye miaka 19 aliweka picha ya kivazi...
View ArticleKIKOSI CHA UTALII NCHINI CHAPATA KAMANDA MPYA
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Dkt. Aloyce Nzuki, akimkaribisha Kamanda wa Kikosi kipya cha Utalii cha Jeshi la Polisi, Kamishina Msaidizi (ACP), Maria Nzuki (kushoto). wakati wa mkutano...
View ArticleWAMAREKANI WATOFAUTIANA NDOA ZA JINSIA MOJA
UTAFITI umebainisha kuwa Wamarekani wengi wameridhia ndoa za jinsia moja, ingawa baadhi yao wamekuwa wakizipinga kwa nguvu zote.Kwa mujibu wa utafiti ambao ulifanywa na Taasisi ya Pew Research Center...
View ArticleLK 4 WA UGANDA ANG'OLEWA BIG BROTHER THE CHASE
SAFARI ya washiriki kutoka nchini Uganda imefikia mwisho katika mashindano la Big Brother The Chase, baada ya mshiriki LK4 kuyaaga mashindano hayo kutokana na kura zake kutotosha kumbakisha katika...
View ArticleLWAKATARE APATA DHAMANA
Hatimaye Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare 'Lwaks' leo apata dhamana na kurudi uraiani, baada ya Mahakama ya Kisutu kuamua kuwa dhamana yake iko wazi na...
View ArticleMFANYAKAZI WA NDANI AUAWA KIKATILI
8 WASHIKILIWA KWA UJAMBAZI DARJESHI la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, limemkamata mtunza bustani, Philimon Laizer (27), mkazi wa Mikocheni B, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mfanyakazi mwe n z...
View ArticleRED CARPERT TUZO ZA KILIMANJARO
DJ Fetty, mtangazaji wa redio Clouds Linah Sanga, msanii wa muziki wa kizazi kipyaBrigittle Alfred Miss Tanzania 2013
View ArticleKALA JEREMIAH AANZA SAFARI KUPELEKA TUZO KWA MAMA NGWEA
Msanii wa kizazi kipya ambaye ndio msanii bora wa muziki wa Hip Hop katika tuzo za Kilimanjaro Music Awards 2013, Kala Jeremiah akiwa na kundi la marafiki zake asubui hii kuelekea Morogoro kukabidhi...
View ArticleLADY JAYDEE 'ANACONDA' MAHAKAMANI LEO
Msanii wa kizazi kipya, Judith Wambura aka Comando, Binti Machozi, Anaconda anatarajiwa kupanda tena kizimbani leo. Fuatilia katika blog ya immamatukio kujia mwenendo wa kesi yake.
View ArticleM to P ATEMBELEA KABURI LA NGWEA
Msanii M2P ambaye ndie aliyekuwa karibu zaidi na marehemu Albert Mangwea nchini Afrika Kusini, akiwa mahali alipozikwa Albert Mangwea Kihonda Morogoro.
View ArticleKESI YA JAYDEE YAAHIRISHWA TENA
Lady Jaydee akiongozana na mumewe, Gadner Habash leo asubuhi wakiingia katika Mahakama ya KinondoniKesi ya mwanamuziki maarufu nchini, Judith 'Lady JAydee, Comamndo, Anaconda' Wambura, kwa mara...
View ArticleLIVE MORO: KALA JEREMIAH APOKEWA NA AFANDE SELE MOROGORO
Kala Jeremiah akiwa Morogoro baada ya kuwasili Afande Sele katika pozi na Kala Jeremiah baada ya ujumbe huo kuwasili na kupokewa na mwenyeji wao tayari kuanza safari ya kuelekea kwenye familia ya...
View ArticleLIVE MORO: KALA JEREMIAH AKABIDHI TUZO KWA MAMA YAKE ALBERT MANGWEA
Kala akimkabidhi mana yake mzazi Marehemu Albert Mangwea, Denesia Costantino Mangwea nyumbani kwake, kulia ni Afande Sele akishuhudia
View ArticleTUZO YAPELEKWA ALIPOLALA MANGWEA
Kala Jeremiah akiweka tuzo aliyopata kwenye tuzo za muziki za Kili Music Awards, kulia ni Afande Sele katika kaburi la Albert MangweaCHINI: Baadi ya ndugu wa familia ya Ngwea wakishuhudia Kala...
View ArticleBAJETI YA JAMUHURI YA MUUNGANO INAANZA KUSOMWA NA WAZIRI WA FEDHA RASMI
HALI ILIVYOKUWA MWAKA 2012Watanzania wenye umeme sasa wamefika 21% mwaka 2012 kutoka 18.4% Mwk 2011, Ni 7% tu ya Watanzania wanaoishi vijijini wameunganishwa umemeSwitzerland, China, South Africa,...
View Article