Kala Jeremiah akiwa Morogoro baada ya kuwasili
Afande Sele katika pozi na Kala Jeremiah baada ya ujumbe huo kuwasili na kupokewa na mwenyeji wao tayari kuanza safari ya kuelekea kwenye familia ya marehemu Albert Mangwea
Afande Sele akiwasaidiana na ujumbe wa Kala Jeremiah kutafuta vitu mbalimbali kwaajili ya familia ya Ngwea CHINI: inaelekea Kala hajaridhishwa na mchele huu (Mzee jikoni upo pia?)