Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII WA HIP HOP, LANGA KILEO AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizotufikia, ni kwamba tasinia ya Hip Hop yapata pigo jingine msanii mwingine tena ameaga dunia. Tutakujuza taarifa zaidi

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAJETI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS : OBAMA AMEFUTA ZIARA YAKE YA KUJA TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: KWANINI OBAMA HAJI TANZANIA

Taarifa zilizotufikia hivi punde zimeeleza kutokuwepo kwa ziara ya Obama nchini Tanzania.Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa na kuchapishwa na gazeti la kila siku la Washington Post la jana alhamisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LANGA KUZIKWA JUMATATU

Msanii wa Hip Hop Langa Kileo anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye makaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam, msanii huyo alifariki jana jioni baada ya kulazwa katika hospitali ya kinondoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUWAOKOA WAWAKILISHI WA TANZANIA BBA

Watanzani wametakiwa kuwapigia kura nyingi kadri wawezavyo,wawakilishi wao katika shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’linaloendelea nchini Afrika Kusini ili kuhakikisha wanaendelea...

View Article

MJUE NGWAIR KAMA MTOTO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LADY JAYDEE KAPITILIZA

AWASHA MOTO WA UKWELI, JUMA NATURE, SUGU, GRACE MATATA, PROF J WAKANDAMIZAANAKONDA ATISHIA MAISHA, M2P AWASHUKURU WATANZANIA  Hapa Jay Dee, pale Sugu na kati Mkoloni, wakiendesha miaka 13 ya Lady...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

M TO THE P ATOA NENO, SHOO YA JAYDEE YAFURIKA WENGINE WAMEISHIA NJE

 M To The P ambaye aliyekuwa swahiba wa msanii Albert Mangwea 'Ngwair' jana aliweza kuonyesha mapenzi yake kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Jaydee kwa kufika katika onyesho hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: BOMU LALIPUKA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA

YADAIWA WATU 5 KUPOTEZA MAISHA  Picha  kwa hisani ya mtandaohabari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa katika mkutano wa kuhitimisha kampeni za lala salama eneo la Soweto jini Arusha, bomu...

View Article

BREAKING NEWS: TAARIFA ZINAZOENDELA KUINGIA TOKA ARUSHA HALI NI MBAYA SANA

Hali ilvyo hospitali ya Seliani, ArushaHabari zinazoeendela kuingia kutoka Hospitali ya Seliani iliyoko mjini Arusha, hali mbaya sana watu wanataharuki, vilio vimetawala kila kona ya hospitali hiyo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAY DEE AJAZWA MINOTI LIVE

Haya ndio sehemu ya mafanikio ya Jide, Komando, Binti Machozi, ANACONDA, jana alipokuwa akikusanya hela alizotunzwa na baadhi ya mashabiki wake. Jay D alikusanya pesa hizo na kisha kumpelekea mama yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:TUME IMEAHIRISHA UCHAGUZI MPAKA JUNI 30

  Picha kwa hisani ya mtandaoJaji mstaafu wa Mahakama ya rufaa Damian Lubuva ambae ni mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi amesema “Jioni ya June 15 2013 tulipata taarifa ya tukio kule Arusha ambako...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS IMEKUFA KIUME

YAPIGWA 4 - 2 NYUMBANI Mbwana Samata akimuinua Amri Kiemba aliyekuwa akishangilia goli alilofunga dakika chache baada ya mpira kuanza katika mechi ya kufuzu kuingia kombe la dunia 2014 za makundi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE KANYE WEST KUITWA BABA

HATIMAYE  Kanye West aitwa baba baada ya mpenzi wake Kimberly Noel 'Kim Kardashian' kujifungua mtoto wa kike mwishoni  mwa wiki.Kim Kardashian alijifungua siku ya Jumamosi katika hospitali ya Cedars-...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI WA TUZO ZA FILAMU 2013/2014 STEPS ENTERTAINMENT

Yafuatayo ni majina ya washindi wa tuzo za filamu kwa mwaka 2012/13 toka kampuni ya steps entertainment zilizofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa hoteli ya blue Pearl iliyopo ubungo jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JB AELEZEA SIRI YA KUWA MSANII BORA WA FILAMU

MSANII wa filamu nchini Jacob Steven 'JB' aibuka kidedea kwa kunyakua tuzo ya msanii bora wa kiume huku Iren Paul kuibuka msanii bora wa kike katika tuzo kutoka kampuni ya Steps Entertainment...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LANGA AAGWA NYUMBANI KWAO

 PICHA ZOTE KWA HISANI YA MTANDAO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA JINSI MBWANA SAMANTA ALIVYOWATESA IVORY COAST

IVORY COAST WAIKUBALI TANZANIAKatika hali isiyokuwa ya kawaida au pengine ya kawaida uwanjani, Mbwana Samata alipiga tiktak ya ukweli ambayo ilimfikia Ulimwengu na hatimaye kusababisha goli la kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: BECKHAM ARUDI CHINA

Amerudi China kama balozi wa soka wa taifaDavid Beckham amerudi nchini China kwa kipindi cha wiki moja akiwa kama balozi wa kwanza wa soka nchini humo. Kwa mujibu wa mtandao wa Sky News, ikiripoti...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live