Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

RIPOTI ILIYOSABABISHA MAWAZIRI KUTENGULIWA

1.0 UTANGULIZIMheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa mujibu wa Kanuni ya 47 ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013,...

View Article


RIPOTI ILIYOSABABISHA MAWAZIRI KUTENGULIWA

1.0 UTANGULIZIMheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa mujibu wa Kanuni ya 47 ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013,...

View Article


BREAKING NEWS: MAJAMBAZI YAUA NA KUIBA STRABAG

Watu wasiofahamika zaidi ya 15 wamevunja uzio wa Kampuni ya STRABAG kisha kuwakamata walinzi huku wakimuua mmoja na kuweza kuvunja baadhi ya ofisi na kuiba fedha za Kitanzania sh. milioni 56, fedha ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEMBELI APOKELEWA KWA KISHINDO JIMBONI KWAKE

Kahama,Wananchi wilayani Kahama wameipongeza kazi nzuri ya tume ya kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira baada ya kuanika ukweli juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu katika Operesheni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA MAGAZETI YA LEO NINI KIMETAWALA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:RUNDO LA SHABA ZA WIZI LAKAMATWA

File pictureMwangaHALMASHAURI ya wilaya ya Mwanga imefanikiwa kuokoa tani zaidi ya 100 za shaba zilizochimbwa kinyemela na kutaka kusafirishwa kusikojulikana huku ikikadiriwa kuwepo kwa tani zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA MAGAZETI LEO TANZANIA

View Article

VIDEO: DRUNK IN LOVE - BEYONCE FT. JAY Z

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA NAPO PAKOJE: RUASHWA KWENYE UGAWAJI WA ZABUNI

LindiWaandisi wa Halmashauri za Wilaya katika Mkoa wa Lindi wamelalamikiwa kwavitendo vya kutoa kazi kwa upendeleo pamoja na kupokea rushwa kwawakandasi vitendo ambavyo vimeelezwa kuwa vinachangia kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGA: KUMBE WANAUME PIA WANABAKWA!!

ATEKWA, ATISHIWA KISU, KISHA ABAKWA BILA KINGA Mwandishi WetuPolisi inadaiwa kuchunguza tuhuma nzito ya uvamizi na ubakaji usio wa kawaida kwa kijana wa miaka 30 linalodaiwa kutokea hivi karibuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: VIN DIESEL ATAJA SIKU YA KUTOA FAST FOURIOUS 7

Mcheza sinema maarufu Vin Diesel, anayeigiza katika filamu ya Fast & Furious ametangaza siku ya kuitoa sinema hiyo sehemu ya 7, ambayo ilizuiwa kufuatia kifo cha mwenzake Paul Walker, aliyefariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YATOA MSAADA TENA

DodomaKampuni ya simu za mkononi nchini Vodacom imekabidhi msaada wa kompyuta 3 zenye thamani ya shilingi Milioni 5.3 katika klabu ya Waandishi wa Habari (CPC) mkoani hapa. Akizungumza katika hafla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGA: AISHI PAMOJA NA MUMEWE NA NYUMBA NDOGO

Mwanamke mmoja anayeishi na wanaume wawili ametoka na ufumbuzi wa ajabu…aliweza kuwaamishia wote kwenye nyumba moja, na yeye kuishi nao.Maria Vogel, 33, mzaliwa wa Bulawayo, sasa hivi anaishi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO: SUSSIE NDIO MSHINDI WA KIGOLI 2013

Fainali za kumtafuta ‘Kigoli wa Tanzania’ 2013, zimefikia tamati juzi usiku katika ukumbi wa Letasi Lounge ambapo, Suzan Ndae aliibuka mshindi na kuzawadiwa gari aina ya Noah lenye thamani ya sh....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA HAWA JAMAA WAMETIMKA NA BODABOA

Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,wakibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(aliesimama kulia)mara baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAYERN MABINGWA WA DUNIA

Bayern Munich inafunga mwaka wa 2013 kwa kutwaa Kombe la Klabu Bingwa duniani baada ya kupata ushindi dhidi ya mabingwa wa Morocco, Raja Casablanca katika mchezo uliochezwa mjini Marrakech,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OYSTERBAY POLISI KUBOMOLEWA KUJENGWA SHOPPING MALL

PICHA KULIA: Eneo hili linalopakana na ukuta wa nyumba za Tanesco, ndilo limeelezwa kuwa ndipo litakapokuwepo Geti kubwa la kuingilia katika Maduka hayo.Kituo cha Polisi cha Oysterbay, pamoja na nyumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND KULA CHRISTMAS NA WATOTO DAR

Na MELEZOMSANII maarufu zaidi nchini, Diamond Platnum, ametangaza jana kufanya tamasha kubwa na la kihistoria kwa watoto katika viwanja vya Leaders tarehe 25 ya mwezi huu. Akizungumza na waandishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO TAREHE 24/12/2013

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUGABE AZIDI KUMSUTA TSZANGIRAI AMWAMBIA "KAFIE MBELE"

Rais Robert Mugabe kavunjilia mbali matumaini ya ushirikiano na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai, kwa kusema wapinzani wa MDC-T na kiongozi wao “Wakafie Mbele”Akiongea jumapili...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live