FINALI ZA KIGOLI 2013, KUFANYIKA DECEMBER 21
Mashindano ya kumtafuta Kigoli wa Tanzania 2013, yanatarajiwa kufanyika Disemba 21, mwaka huu katika ukumbi wa Letasi Lounge, Victoria jijini Dar es Salam.Awali fainali hizo zilipangwa kufanyika...
View ArticleANGALIA PICHA ZA KUTISHA, APASULIWA KUTOLEWA MADAWA YA KULEVYA
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZIHivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga...
View ArticleJINO KWA JINO: KIKONGWE AUA KISHA NAYE AUAWA
Migogoro ya kugombea ardhi imeendelea kusababisha vifo baada kikongwe mwenye umri wa miaka 87 mkazi wa kijiji cha Kahanga wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga kumuua kwa kumpiga risasi ya kichwa mkazi...
View ArticleTANZANIA NI NCHI YA KIJAMAA, UCHUMI WA SOKO
Tanzania ni nchi ya kijamaa yenye kufuata mfumo wa uchumi wa soko. Hayo yalisemwa leo bungeni wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Mipango, Wiliam Lukuvi (Pichani Kushoto)...
View ArticleMAZIKO YA ALIYEPATA AJALI MBAYA YANANEDELEA ROMBO
Juma mosi tarehe14, December, 2013 blog ya Imma Matukio iliripoti na kutoa picha za ajali mbaya na ya kutisha kuwahi kutokea. Kutokana na kukosekana taarifa za kutosha, Imma Matukio ilijitahidi...
View ArticleSHUGHULI YA MAZISHI YA KIJANA ALIYEPATA AJALI KATIKA MADARAJA MAWILI KAWE
 Jeneza la marehemu Maximilian Mako Urio Swai. Wazazi wa marehemu, Mzee Swai na Mama wakiwa katika msiba wa Marehemu Swai Kundi la waombolezaji wakiwa katika msiba wa Marehemu Maximilian Mako Swai leo...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU VURUGU MOROGORO
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera SensoJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIAMnamo tarehe 18/12/2013 majira ya saa tatu asubuhi katika kata ya Malinyi,...
View ArticleBALAA: UTAMU WA NGONO WAMUUA
Mwanaume mmoja nchini Malawi alizimia na kisha kufariki wakati akifanya tendo la ngono na changudoa, imedaiwa kifo chake kimesababishwa na utamu wa ngono.Akizungumza na waandishi wa habari msemaji wa...
View ArticleABIRIA WA ETHIOPIA AIRLINE WANUSURIKA ARUSHA
Ndege hiyo ilikuwa itue kwenye Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro, lakini ilitua kwenye uwanja wa Arusha ambao njia ya kutua ndege kwenye uwanja huo inasemekana ni urefu wa mita 1.620 tu, au futi 5.315....
View ArticleKIGOGO WA WAHAMIAJI HARAMU AKAMATWA
Watu wawili akiwemo raia wa Burundi, Nduwayesu Pail, wanashikiliwa na Idara ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuhusika na usafirishaji wa wahamiaji haramu kinyume na sharia.Nduwayesu Paul...
View ArticleHOTELI 9 ZA KITALII ARUSHA KUFUNGWA
Hoteli tisa zenye hadhi ya kitalii jijini Arusha,huenda zikafungwa kutokana na mamlaka ya maji safi na maji taka mkoani Arusha(AUWSA)kuziba mkondo wa kutoa maji machafu ,hali iliyosababisha harufu kali...
View ArticleDAWA ZA KULEVYA: UNYAMA WA KUTISHA WAFANYIWA WATANZANIA
Sakata la Watanzania wanaoshikiliwa nchini Pakistan na mtandao unaohusika na biashara ya dawa za kulevya ambao wapo mafichoni nchini humo kama dhamana ya vigogo wanaofanya biashara hiyo nchini,...
View ArticleREMMY ALIPOTEMBELEA OFFICE YA MAJIRA LEO
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Remmy Williams(pichani Juu) akizungumza na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Majira, Imma Mbuguni leo alipotembelea ofisi za magazeti ya kampuni ya Business Times Limited....
View ArticleBREAKING NEWS: AJALI MBAYA YAUA WANNE, TABORA
Na mwandishi wetu, TaboraHabari zilizotufikia ni kwamba leo majira ya saa tano asubuhi gari na T 829 AHA ISUZU lilokuwa limebeba watu waliokuwa wanakwenda mnadani limepata ajali mbaya na kusababisha...
View ArticleUKATILI WA KUTISHA:WATOTO WAWILI WACHINJWA NA KUNYONGWA
Watoto wawili wa Diwani Chama Cha Mapinduzi (CCM)wa kata ya Mkangamo Eston Kimwelu wameuwawa kikatili na wananchi wenye hasira kwa kuwanyonga na waya kisha kuwachinja shingoni kwa kisu .Akizungumza na...
View ArticleBREAKING NEWS: MAWAZIRI WANNE WATENGULIWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametengua wizara wanne baada ya ripoti ya kamati ya bunge iliyoundwa kwaajili ya kuchunguza tuhuma zinazohusishwa na opereshini...
View ArticleRIPOTI ILIYOSABABISHA MAWAZIRI KUTENGULIWA
1.0 UTANGULIZIMheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa mujibu wa Kanuni ya 47 ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013,...
View Article