Kwa mujibu wa mtandao wa gazeti la Time, Diesel aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook kwamba sinema hiyo itazinduliwa tarehe 10 mwezi april, 2015.
Kwa mujibu wa mwandishi kutoka Hollywood, Diesel aliweka picha yake ya mwisho iliyopigwa akiwa na marehemu Paul Walker katika sinema hiyo(Pichani Juu).
Kuna mvuto wa hali ya juu katika sinema hiyo kabla hata haijaisha wakati tunaimalizia