MBUNGE CHATANDA APOKEA PUMP MBILI ZA MAJI MTAA WA MLIMA FUNDI
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini mkoani Tanga Mary Chatanda (wa pili kulia) akimkabidhi pampu mbili za maji Mwenyekiti wa Kamati ya Maji Mtaa wa Mlima Fundi katika Halmashauri ya Mji Korogwe Charles...
View ArticleNJIA TANO ZA KULINDA SIMU YAKO YA ANDROID
Na Jumia TanzaniaKama unamiliki simu inayotumia mfumo wa Android, basi hautakiwi kijisahau hususani juu ya masuala ya usiri wa matumizi yako na usalama. Hususani kama simu yako ya Android haipati...
View ArticleWAJIBU WA WACHIMBAJI WADOGO NI KUFUATA MAELEKEZO NA KULIPA KODI KWA UAMINIFU
PICHANI : Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akiwaeleza wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Bululu, kilichopo katika Kata ya Nyamtukuza Wilaya ya Nyang'wale Mkoani...
View ArticleNDAHALO WA KUTAFUTA VIONGOZI WA WATANZANIA WAISHIO DMV UNAENDELEA
Mdahalo wa sehemu ya kwanza wa kugombania kinyang'anyiro cha uongozi wa Waweka Hazina kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika...
View ArticleUNICEF REPORT: OVER HALF A BILLION ‘UNCOUNTED’ CHILDREN LIVE IN COUNTRIES...
UNICEF report: Over half a billion ‘uncounted’ children live in countries unable to measure SDG progressLatest data on development progress for children shows over half a billion more live in countries...
View ArticleMBUNGE AMUOMBA MKURUGENZI KOROGWE MJI KUWAOKOA WANAFUNZI
Madarasa haya ndiyo yanatumika kwa sasa Shule ya Msingi Msambiazi, Kata ya Mtonga, Halmashauri ya Mji Korogwe. Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda ambaye amefika shuleni hapo leo Machi 8,...
View ArticleMWENYEKITI WA UWT ATEMBELEA HOSPITALI KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka akifurahia mtoto wa kike, alipotembelea wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Mbaala Rangi tatu, wilayani Temeke Dar es Salaam, ikiwa ni...
View ArticleSERIKALI YAENDELEA KUWABANA WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA NCHI
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MkurangaNAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, ameendelea kuwabana waajiri wanaokiuka sheria za nchi ambapo leo...
View ArticleWANAWAKE MSD WASAIDIA HOSPITALI YA TEMEKE, WATOTO YATIMA KURASINI
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Amaani Malima akizungumza na Wanawake wa Bohari ya Dawa (MSD) waliofika Hospitalini hapo Dar es Salaam jana kwa ajili ya kutoa msaada wa vifaa vya...
View ArticleWAKURUGENZI GEITA WAKUMBUSHWA KUTENGA FEDHA ZA WABAWAKE
PICHANI : Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe Robert Gabriel akisisitiza umuhimu wa kuheshimu wanawake wakati akihutubia wananchi waliojitokeza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yanayoadhimishwa...
View ArticleMNEC ATOA 13M KWAAJILI YA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI
PICHANI: Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas akiongea na wajumbe wa baraza la UWT manispaa ya Iringa lilofanyika katika ukumbi wa CCM sabasaba na kutoa...
View ArticleTANZANIA NA UJERUMANI KUENDELEZA UTAFITI WA MASALIA YA MIJUSI TENDAGURU, LINDI
PICHANI : Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Maj. Gen. Gaudence S. Milanzi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Historia Asilia ya Berlin Ujerumani (Berlin...
View ArticleKAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZACHAGUZI VIONGOZI WAO
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Matter Salum akiongoza uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo katika kikao...
View ArticleST GLORY KUTEKELEZA MAAGIZO YA NACTE NDANI YA SIKU 14
PICHANI: Mkurugenzi wa Chuo cha Uuguzi na Tiba cha St Glory, Felister Massawe akionesha barua ambayo ameandikiwa na NACTE kusimamishwa kwa chuo hicho kwa siku 14 ili kurekebisha mapungufu yaliyopo na...
View ArticleDK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU 2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) wakati wa hafla iliyofanyika leo katika...
View ArticleWALIOAPISHWA WAAHIDI KUISAIDIA ZANZIBAR KULETA MAENDELEO
PICHANI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Mwanajuma Majid Abdalla kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto...
View ArticleHIZI NI HOTELI 5 ZA KUVUTIA ZILIZOPO PEMBEZONI MWA TANZANIA
Na Jumia Travel TanzaniaZimebaki takribani wiki tatu kabla ya sikukuu ya Pasaka kusherehekewa duniani kote, je umeshafahamu utakwenda kupumzika wapi? Pasaka ni miongoni mwa sikukuu zinazopendwa na watu...
View ArticleAJIFUNGUA BAHARINI PICHA ZAZAGAA MITANDAONI (ANGALIA HAPA)
PICHANI : Daktari akiwa amebeba kichanga huku baba wa kichanga hicho akiwa amebeba mfuko wa uzazi kwenye bakuli la plastiki baada ya kichanga hicho, kushoto ni mama mtoto baada ya kujifungulia...
View ArticleDARAJA LA WAVUKA KWA MIGUU LABOMOKA, LAUA 10 (PICHA)
Watu kumi wamepoteza maisha baada ya daraja jipya la waenda kwa miguu kubomoka jana katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Florida(FIU), Miami, nchini Marekani.Kwa mujibu wa mtandao wa gazeti la kila...
View ArticleDKT SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA UTAWALA BORA NA UCHUMI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akifunga Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika Ukumbi wa...
View Article