AKILIMALI:WANAWAKE WAJASIRIAMALI ZALISHENI BIDHAA BORA KUKIDHI SOKO
Na Bashir Nkoromo, KigamboniWanawake wajasiariliamali wametakiwa kutengeneza au kuuza bidhaa zenya ubora wa viwango vinavokubalika ili kuvutia wateja kununua bidhaa zao na kuongeza masoko ndani na nje...
View ArticleSERIKLI YATOZA FAINI KIWANDA CHA NYUZI TANGA KWA KUVUNJA SHERIA
PICHANI : Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde,(watatu kulia), akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kusokota nyuzi cha PPTL...
View ArticleDSM KUANZA KUTUMIA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI
PICHANI : Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani akizungumza na watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania( TPDC) na watendaji wa Wizara ya Nishati, kuhusua suala la usambazaji wa gesi...
View ArticleWANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA WIKI YA ELIMU KWA MLIPAKODI
PICHA YA MTANDAONa: Veronica Kazimoto,Dar es Salaam,Wito umetolewa kwa wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla kujitokeza kwa wingi katika vituo ambavyo vimepangwa rasmi kwa ajili ya wiki ya elimu...
View ArticleMBUNGE CHATANDA ATAKA UKAGUZI TSH. MILIONI 230, UJENZI SHULE YA JOEL BENDERA SEC
PICHANI: Mbunge wa Korogwe Mjini Mary Chatanda (wa tatu kulia) akisikiliza taarifa inayosomwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari Joel Bendera Nasson Msemwa (wa pili kushoto). Hapo ndipo Chatanda aliliamsha...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMAPORI DUNIANI KITAIFA MKOANI DODOMA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa tatu kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Japhet Hasunga (kushoto) wakiongoza maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanyamapori Duniani...
View ArticleWAZIRI WA NISHATI ATEUA WAHANDISI 7 KUSIMAMIA REA III
Na Zuena Msuya, DodomaWaziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani (Pichani kulia) amewateua Wahandisi Saba(7) kutoka Wizara ya Nishati watakaoshirikiana na wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa REA III katika...
View ArticlePICHA: MOTO ULIVYOTEKETEZA BWENI LA WASICHANA SEKONDARI KOROGWE
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela(mwenye shati jeupe) akiangalia athari zilizosababishwa na moto ulioteketeza bweni katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe, Wilaya ya Korogwe. moto huo...
View ArticleMADIWANI WA UYUI WAPITISHA BILIONI 1.9 KWA AJILI RZUKU YA MIUNDOMBINU
NA TIGANYA VINCENTRS-TABORABARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tabora-Uyui limepitisha mapendekezo ya marekebisho ya bajeti ya ruzuku ya miundombinu LGCDG ya bilioni 1.9 kwa ajili ya mwaka...
View ArticleUMOJA WA MATAIFA YAIMWAGIA SIFA JWTZ NA SERIKALI YA JPM
PICHANI: Mwakilishi maalumu wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia watoto na Migogoro ya Kivita Virginia Gamba akizungumza na Meja Afred Mwinuka wakati alipotembelea kambi ya Wanajeshi...
View ArticleSERIKALI YATENGA TSH TRILIONI 1 KULIPA MADENI MWAKA WA FEDHA 2017/2018
PICHANI: Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza kuhusu utekelezaji wa ahadi za Serikali kwa wananchi ikiwemo utekelelezaji wa miradi mikubwa ya...
View ArticleVIDEO : MDAHALO WA KUMPATA RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
Huu ni Mdahalo wa Sehemu ya kwanza kati ya mbili zijazo, wa kugombania kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Urais kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi...
View ArticleMNEC ATOA 500,000 KUSIDIA BWENI LILILOTEKETEA KWA MOTO KOROGWE
PICHANI: Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) kupitia Mkoa wa Tangza Mohammed Salim (RATCO) akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe, Anisia Mauka sh. 500,000 kama pole kutokana na tukio...
View ArticleJITIHADA ZA SERIKALI KUKUZA KILIMO ZALETA NEEMA LINDI
Frank Mvungi- Maelezo, Dodoma Wakulima Mkoani Lindi wamejipatia takribani bilioni 259 kwa kuuza mazao ya Biashara ikiwemo Korosho katika msimu uliopita baada ya Serikali kuweka msukumo na mazingira...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA COMORO IKULU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Fakih Al...
View ArticleMAMA KIKWETE MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI TABORA
Picha ya MtandaoNA TIGANYA VINCENT TABORAMke wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete (pichani kulia)anatarajiwa...
View ArticleSERIKALI YAIAGIZA WCF KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WAAJIRI 6,907
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAIDSERIKALI imesema haitabadili msimamo wake wa kuwapeleka mahakamani waajiri wote ambao bado hawajajisajili na Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Naibu Waziri Ofisi ya...
View Article