KAMPUNI YA SNOOP DOGG KUONGEZA ZAIDI YA BILIONI 100 KATIKA SEKTA YA BANGI
Mwanamuziki maarufu duniani wa miondoko ya Hip Hop nchini Marekani, Snoop Dogg (Pichani kulia) na kampuni yake ya Casa Verde Capital wanapanga kuwekeza katika sekta ya bangi nchini Marekani. Wakati...
View ArticlePICHA ZA MTOTO WA MILLEN MAGESE, AONEKANA KWENYE JARIDA LA GENEVIEVE
Mrembo na model, Millen Magese kwa mara ya kwanza amemtoa mwanae wa kiume, Prince Kairo katika jalada la jarida la Genevieve la mwezi machi 2018.Milen amekuwa akipambana na ugonjwa wa Endometriosis kwa...
View ArticleMHUDUMU ALIYEANGUKA TOKA KWENYE NDEGE UGANDA AMEFARIKI
Mhudumu aliyeanguka toka kwenye ndege (pichani kushoto) katika Uwanja wa Kimataifa wa Entebe, Uganda amefariki. Mwanamke huyo ambaye utaifa wake haujatajwa alikimbizwa katika hosptiali ya Kisubi,...
View ArticleZIMBABWE KUFANYA UCHAGUZI MWEZI WA SABA, 2018
Na Mwandishi WetuImmamatukio Blog.Rais Emmerson Mnangagwa (pichani) wa Zimbabwe ametangaza jumamosi kuwa uchaguzi wa kwanza nchini humo wa Rais na Wabunge tangu kuondolewa madarakani Rais aliyeitawala...
View ArticleALIYEKUWA RAIS WA AFRIKA KUSINI, JACOB ZUMA KUSHTAKIWA KWA MAKOSSA 16
Na Mwandishi WetuImmamatukio BlogAliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka 16. Mkurugenzi wa Mashtaka, Shaun Abrahams ameeleza kuwa Zuma atashtakiwa...
View ArticleMAFUTA 'YANAYOWAFANYA WANAUME KUMEA MAZIWA'
Na BBCUhusiano kati ya matiti yasio ya kawaida ambayo humea miongoni mwa wavulana na utumizi wa mafuta ya mti wa lavender na ule wa chai umetoa uzito tofauti baada ya utafiti kubaini kwamba kemikali...
View ArticleMBEGU BORA YA MAHINDI KUWAONGEZEA TIJA WAKULIMA CHALINZE
PICHANI : Mkurugenzi wa Fedha wa Fedha na Utawala wa COSTECH, Shabani Hussein (wa pili kulia), akimkabidhi Mwenyekiti wa Kikundi cha Gezaulole, Ali Hussein Rajab (kulia), mbegu ya mahindi ya Wema 2109...
View ArticleJESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA TAADHARI KWA MATUKIO YA MOTO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKufuatia uwepo na muendelezo wa matukio ya moto katika maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo shule za bweni, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linatoa tahadhari kwa Wanafunzi,...
View ArticleMAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MASUALA YA AFYA
PICHANI: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa kimataifa wa masuala ya Afya, uliohudhuliwa na Mawaziri kutoka nchi za Afrika Mashariki, Afrika ya kati...
View ArticleWATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC NA JUMUIYA MPYA 2018
Siku ya Jumapili March 18, katika ukumbi wa Mount rainier, Maryland, Team Libe walifanikisha azama juu ya mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Jumuiya Mpya ya Watanzania waishio DMV utakaofanyika siku ya...
View ArticleALIYEKUWA RAIS WA UFARANSA AKAMATWA KWA KUPOKEA HELA ZA GADDAFI 2007
Aliyekuwa rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy (Pichani) amekamatwa na anashikiliwa na polisi akihojiwa kuhusiana na tuhuma za kupokea euro milioni 5 (sawa na Shilingi Bilioni 13.9) kwaajili ya kampeni...
View ArticleUWT WATEMBELEA KIGABONI, TEMEKE, WAPONGEZA RAIS KUKTANA NA WAFANYABIASHARA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akizungumza na Wajumbe Wa Kamati ya Utekelezaji wa Jumuiya hiyo Wilaya ya Kigamboni, alipofanya ziara ya Kikazi...
View ArticleATUMIA MIEZI 7 KWA PIKIPIKI KUTOKA OMAN HADI TANZANIA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka nchi ya Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri kwa muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali...
View ArticleMVUA YASABABISHA KUKATIKA BARABARA YA TABORA-ITIGI, MAGARI YAPITIA NZEGA
PICHANI: Baadhi ya wasafiri na wakazi wa Nyahua wilayani Uyui wakiwa katika eneo ambalo barabara imekatika kutoka na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha kukatika kwa mawasiliano baina ya Itigi...
View ArticlePOPE FRANCIS ALAANI MATUMIZI YA MSALABA KAMA FASHION
Na Mwandishi WetuImmamatukio Blog.Papa Francis amesema matumizi ya alama ua msalaba ambayo inamaanisha kuteswa kwa Yesu Kristu kama kifaa cha fashen inachangia kudharau dini. Katika hotuba yake St...
View ArticleMALAWI YAVUTIWA NA MATIBABU YA KIBINGWA MOI
Na Mwandishi WetuKatibu Mkuu Wizara ya Afya ya Malawi Dkt. Charles Mwansambo ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) ili kupata uzoefu wa namna Taasisi hiyo inavyotoa huduma za kibobezi...
View ArticleWCF YAELIMISHA MAAFISA WAAJIRI MISINGI YA KULINDA USALAMA NA AFYA ZA...
PICHANI : Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Anselim Peter, (aliyesimama), akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina juu ya masuala ya msingi ya kulinda usalama na afya...
View Article