MANAIBU WAZIRI WAFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MGODI WA ALMASI, SHINYANGA
Manaibu Waziri, Mhe. Antony Mavunde kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, (wapili kushoto), na Mhe. Dotto Biteko, kutoka Wizara ya Madini, (wapili kulia), wakipatiwa...
View ArticleMJADALA WA KITAIFA UNAHITAJIKA KUJADILI FAIDA ZA MATUMIZI YA MBEGU ZA GMO
PICHANI: Mwenyekiti wa Kavazi la kwanza la Mwalimu Nyerere kwa mwaka 2018 Dkt. Ng’wanza Kamata ambaye ni mahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), akichokoza mada kuhusu matumizi ya mbegu za...
View ArticleCCM YATEKELEZA AHADI YA MBUNGE MSIGWA SOKO KUU LA MANISPAA YA IRINGA
Mwenyekiti wa chama cha mapindizi (CCM) manispaa ya Iringa Said Rubeya akimkabidhi TV na king'amuzi mwenyekiti wa masoko ya manispaa ya iringa Starmi Mathew akiwa sambamba na viongozi na wanachama wa...
View ArticleCHATANDA AWAWASHIA 'MOTO' WAHANDISI WA MAJI HALMASHAURI YA MJI KOROGWE
PICHANI: Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini mkoani Tanga (CCM) Mary Chatanda (kushoto) leo Februari 28, 2018 amefika Mtaa wa Kwanduli, Kata ya Bagamoyo katika Halmashauri ya Mji Korogwe kuangalia miradi...
View ArticleIDADI YA WATANZANIA YAELEZWA KUONGEZEKA KWA KASI
PICHANI : Idadi kubwa la watu wakitafuta mahitaji yao katikati ya jiji la Dar es Salaam, Mtaa wa Congo, Kariakoo. Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo idadi ya watu inaongezeka kwa kasi...
View ArticleJAPAN KUSAIDIA BLN77.3 KUJENGA BARABARA MOROCO - MWENGE (BRT)
Na Fatma Salum-MAELEZOSerikali ya Tanzania imepokea msaada wa Shilingi bilioni 77.3 kutoka Serikali ya Japan kwa ajili ya kutekeleza awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (New...
View ArticleSERIKALI YAOMBWA KUENDELEA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA WANAWAKE NCHINI
Mbunge wa Jimbo la Hanang, Dk.Mary Nagu, akihutubia wakati akifungua akifungua Kongamano la Wanawake na Uongozi 2018 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.Na Dotto MwaibaleSERIKALI...
View ArticleSERIKALI YAAHIDI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI MNADA PUGU, YASIMAMISHA UJENZI...
PICHANI: Waziri wa Mifugo na Uvuvi Kuhaga Mpina akizungumza na wananchi katika Mnada wa Pugu, Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema.Na Bashir Nkoromo, PuguSerikali...
View ArticleSERIKALI ISHIRIKISHE MAHAKAMA KATIKA UANZISHWAJI WA MIKOA NA WILAYA MPYA
PICHANI: Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Hamisi Juma akuwa na wakandarasi wa kampuni ya Masasi Construction Limited ambao ni wajenzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma. Mahakama ya Tanzania...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA KUSHIKA NYADHIFA MBALIMBALI
Rajab Mkasaba, Ikulu ZanzibarRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hapo jana kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya...
View ArticleWORLD BANK EDUCATION SENIOR DIRECTOR TO VISIT TANZANIA
DAR ES SALAAM, March 1, 2018 —The World Bank Senior Director for the Education, Jaime Saavedra, will visit Tanzania from March 4 to 7, 2018. During his visit, Saavedra will meet with Hon. Joyce...
View ArticleREUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA MILIONI 10 DROO YA “DAKA MKWANJA”
Bw. Muganyizi Bisheko Meneja wa Masoko Utafiti na Maendeleo Benki ya BOA akikabidhi zawadi ya shilingi milioni 10 kwa Bw. Reuben Bulugu Kinamhala mshindi wa Bahati nasibu ya “Daka Mkwanja”...
View ArticleKUJISAJILI WCF LENGO NI KUMUONDOLEA MZIGO WA GHARAMA MWAJIRI NA KULINDA HAKI...
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, MOSHISERIKALI ya awamu ya tano imedhamiria kwa dhati kuhakikisha wafanyakazi wanalindwa na kupata haki zao pindi wanapopatwa na madhara yatokanayo na kazi, Naibu Waziri...
View ArticleJUMIA KUWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA NA MAMILIONI YA WATEJA MTANDAONI
PICHANI: Mkurugenzi Mkuu mpya wa Kampuni ya Jumia Tanzania, Zadok Prescott (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati akijitambulisha rasmi na kuzungumzia mambo...
View ArticleMSANII ROMA MKATOLIKI AFUNGIWA MIEZI SITA, NEY WAMITEGO AONYWA
PICHANI: Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo na msanii wa muziki Ney Wamitengo kuhusu namna ya...
View ArticleWAKURUGENZI WATAKIWA KUSIMAMIA WATOTO YATIMA WAPATE ELIMU
PICHANI: Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akifungua jana mjini hapa kongamano la wadau wa maendeleo ya elimu mkoani humo. Lengo la kongamano hilo ilikuwa ni kujadiliano juu ya vikwazo vinakwamisha...
View ArticleWATURUKI WAMTEMBELEA WAZIRI UMMY, WAJADILI KUBORESHA SEKTA YA AFYA NCHINI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu akutana na ugeni kutoka nchini Uturuki ukiongozwa na Balozi wao Dkt. Ali Daoutoglu mapema leo katika ofisi ndogo za Wizara...
View ArticleMBUNGE MARY CHATANDA AKERWA DARASA LA AWALI KUFUNGWA
PICHANI : Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda (kushoto) akiangalia shimo la choo ambalo limeshajengwa na kufukiwa. Ametoa sh. 500,000 kumalizia choo hicho.Na Yusuph Mussa, KorogweIMMAMATUKIO...
View ArticleRAIS WA FIFA AIMWAGIA SIFA TANZANIA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA Ndugu Gianni Infantino amemshukuru Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Ndugu Wallace Karia kwa kazi nzuri ya maandalizi ya mkutano wa...
View ArticleRATIBA ROBO NA NUSU FINALI KOMBE LA SHIRIKISHO ZAKAMILIKA
Upangaji wa ratiba kwa hatua ya robo fainali na nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Shirikisho la Azam umefanyika leo Ijumaa Machi 2, 2018 kwenye Makao Makuu ya Azam Tv.Droo hiyo imehusisha timu...
View Article