PICHANI : Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda (kushoto) akiangalia shimo la choo ambalo limeshajengwa na kufukiwa. Ametoa sh. 500,000 kumalizia choo hicho.
Na Yusuph Mussa, Korogwe
IMMAMATUKIO BLOG
Choo hiki cha darasa la awali kijiji cha Lwengera- Relini kina miaka saba ujenzi wake haujakamilika, hivyo kufanya watoto waliokuwa wanasoma hapo kuhamishwa kijiji kingine Lwengera- Darajani. Chatanda ametoa sh. 500,000 ili kukamilisha choo hicho na watoto warudishwe kusoma hapo, ambapo itawapunguzia usumbufu wa kutembea kilomita tatu Shule ya Msingi Lwengera- Darajani, kwenda na kurudi.Kutokana na darasa la awali katika Shule ya Msingi Lwengera- Relini kufungwa kwa kukosa choo, limeanza kutoa nyufa na kuharibiwa rangi na mchwa. Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda ametoa sh. 500,000 ili kukamilisha choo hicho, huku akiitaka Halmashauri ya Mji Korogwe kukarabati jengo hilo.![]()
Jengo la Darasa la Awali Kijiji cha Lwengera- Relini celling board zake zikiwa zimeachia kutokana na kushindwa kutumika. Ni baada ya watoto waliokuwa wanasoma hapo kuhamishwa kwa kukosa choo.
MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Mjini mkoani Tanga (CCM) Mary Chatanda ameshangazwa kuona darasa la awali katika Kijiji cha Lwengera- Relini, Kata ya Old Korogwe katika Halmashauri ya Mji Korogwe limekaa miaka saba bila choo.
Matokeo yake, darasa hilo limefungwa na watoto waliokuwa wanasoma hapo imebidi wahamishiwe Shule ya Msingi Lwengera- Darajani na kulazimika kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita sita kila siku kwenda shuleni.
Chatanda ambaye alifika leo Machi mosi, 2018 kukagua shughuli za maendeleo kwenye kijiji hicho, alisema sababu ya Serikali kujenga darasa hilo la awali, ni kuwapunguzia mwenda wa kutembea watoto wa kijiji hicho ambao walikuwa wanalazimika kwenda shule ya msingi kijiji cha jirani cha Lwengera- Darajani.
"Serikali ilikuwa na makusudi kwa kujenga darasa hili, nia ni kuwapunguzia umbali wa kutembea kwenda Lwengera- Darajani, lakini darasa hili miaka sabaMatokeo yake, darasa hilo limefungwa na watoto waliokuwa wanasoma hapo imebidi wahamishiwe Shule ya Msingi Lwengera- Darajani na kulazimika kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita sita kila siku kwenda shuleni.
Chatanda ambaye alifika leo Machi mosi, 2018 kukagua shughuli za maendeleo kwenye kijiji hicho, alisema sababu ya Serikali kujenga darasa hilo la awali, ni kuwapunguzia mwenda wa kutembea watoto wa kijiji hicho ambao walikuwa wanalazimika kwenda shule ya msingi kijiji cha jirani cha Lwengera- Darajani.
Choo hiki cha darasa la awali kijiji cha Lwengera- Relini kina miaka saba ujenzi wake haujakamilika, hivyo kufanya watoto waliokuwa wanasoma hapo kuhamishwa kijiji kingine Lwengera- Darajani. Chatanda ametoa sh. 500,000 ili kukamilisha choo hicho na watoto warudishwe kusoma hapo, ambapo itawapunguzia usumbufu wa kutembea kilomita tatu Shule ya Msingi Lwengera- Darajani, kwenda na kurudi.Kutokana na darasa la awali katika Shule ya Msingi Lwengera- Relini kufungwa kwa kukosa choo, limeanza kutoa nyufa na kuharibiwa rangi na mchwa. Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda ametoa sh. 500,000 ili kukamilisha choo hicho, huku akiitaka Halmashauri ya Mji Korogwe kukarabati jengo hilo.

Jengo la Darasa la Awali Kijiji cha Lwengera- Relini celling board zake zikiwa zimeachia kutokana na kushindwa kutumika. Ni baada ya watoto waliokuwa wanasoma hapo kuhamishwa kwa kukosa choo.