Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

RATIBA ROBO NA NUSU FINALI KOMBE LA SHIRIKISHO ZAKAMILIKA

$
0
0
Upangaji wa ratiba kwa hatua ya robo fainali na nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Shirikisho la Azam umefanyika leo Ijumaa Machi 2, 2018 kwenye Makao Makuu ya Azam Tv.

Droo hiyo imehusisha timu saba za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na timu moja ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara.

Timu zilizochezeshwa kwenye droo hiyo ni Young Africans,Azam FC,Singida United,Tanzania Prisons,Njombe Mji,Stand United,JKT Tanzania na Mtibwa Sugar.

Mechi za hatua hiyo zitapangiwa tarehe ya kuchezwa baada ya tarehe za awali kuingiliana na mechi za timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 zilizotajwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa CAF.

Ratiba Nane bora

Singida United vs Young Africans Uwanja wa Namfua

Tanzania Prisons vs JKT Tanzania Uwanja wa Sokoine

Azam FC vs Mtibwa Sugar Azam Complex

Stand United vs Njombe Mji Uwanja wa Kambarage

Nusu Fainali

Stand United/Njombe Mji vs Azam FC/Mtibwa

Singida United/Young Africans vs Tanzania Prisons/JKT Tanzania

Fainali



Singida United/Young Africans vs Tanzania Prisons/JKT Tanzania vs Stand United/Njombe Mji vs Azam FC/Mtibwa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles