RC GEITA KUWAPIMA MAOFISA UGANI UWEZO WA UTENDAJI KAZI ZAO ZA KILIMO
PICHANI: Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi na Viumbe Hai wa COSTECH, Dk.Bakari kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH, akimkabidhi mbegu bora ya mahindi, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel...
View ArticleUNDANI KUHUSU SHEREHE ZA HALLOWEEN KILA IFIKAPO OKTOBA 31
Na Jumia Travel TanzaniaInawezekana utakuwa umesikia watu au kusoma kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sherehe za Halloween lakini ukawa hauelewi. Mbali na hapo inawezekana pia umekutana na matangazo...
View ArticleTANZANIA KINARA AFRIKA KUPINGANA NA UKATILI WA WATOTO
Na Humphrey Shao Globu ya JamiiTANZANIA imetajwa kuwa ni nchi ya kwanza barani afrika katika mapambano dhidi ya ukatili watoto kulinganisha na mataifa mengine.Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa shirika la...
View ArticleMBEGU ZILIZOTOLEWA NA COSTECH MKOANI GEITA KUONGEZA CHACHU YA KILIMO
PICHANI: Wakulima wa Kijiji cha Iponya katika Halmshauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakifurahia kupata mbegu bora ya mihogo aina ya Mkombozi waliokabidhiwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na...
View ArticleWAZAZI MBURAHATI SACCOS YAIVA, KUPATA HATI YA USAJILI HIVI KARIBUNI
Mwenyekiti wa muda wa Wazazi Mburahati Saccos, John Mapunda akifungua mkutano wa wanachama wa Saccos hiyo, uliofanyika kwenye ukumi wa Jengo la Kitegauchumi la CCM, Mburahati, Dar es Salaam, jana....
View ArticleDC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO
Na Tiganya VicentTabora JUMLA ya wakulima 4,268 wilayani Urambo wamejiandikisha kulima zao la Pamba katika msimu wa kilimo unatarajia kuanza wakati wowote mwezi huu. Kauli hiyo imetolewa jana na Mkuu...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA NISHATI, ATEMBELEA MIRADI YA UMEME WILAYANI TEMEKE
PICHANI: Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (kulia), akizungumza jambo mbelke ya viongozi wa Tanesco mkoa wa Temeke na wa serikali ya Mtaa, alipotembelea miradi ya umeme huko Cghamazi, Dovya,...
View ArticleVIJANA WAMPONGEZA RAIS KWA MAFANIKIO KATIKA MIAKA YAKE MWILI
PICHANI: Ndg Polepole akitoa mada kwenye Kambi hiyoNa Mwandishi WetuVijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametoa tamko la kumpongeza Rais Dk. John Magufuli kwa mafanikio makubwa ya kiutendaji katika...
View ArticleMAHAFALI YA CHEKECHEA FEZA YAFANA MWISHONI MWA WIKI
Wanafunzi wa chekechea wa shule ya FEZA wakicheza ngoma za kitamaduni katika sherehe za mahafali ya kuhitimu watoto wa chekechea sherehe zilizofanyika katika shule hiyo. Mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa...
View ArticleAMINA MOLLEL: WAZAZI MSIWAFICHE WATOTO WENYE ULEMAVU NDANI
Mbunge wa Viti Maalumu CCM, Amina Mollel akiwa anacheza ngoma ya kimasai pamoja na baadhi ya wamasai waliojitokeza katika sherehe za kupandisha ngazi ya rika kutoka katika rika la kurianga kuingia...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AVUTIWA NA MATEMBEZI YA HISANI JIJINI DSM
Lengo la matembezi hayo ni kusaidia upatikanaji wa fedha kwa ajili ya kugharamia mafunzo ya wauguzi wakunga nchini.
View ArticleTAFITI ZA KILIMO ZAWAFIKIA WAKULIMA URAMBO KWA MARA YA KWANZA
PICHANI: Mshauri wa Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB), Dk.Nicholaus Nyange, akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Angelina Kwinga mbegu ya mihogo inayostahimili ukame...
View ArticleUNAFAHAMU KWAMBA UNAWEZA KUAGIZA CHAKULA UKIWA HAPO ULIPO?
Na Jumia Food TanzaniaKatika maisha ya sasa yenye pilikapilika takribani siku nzima, muda umekuwa ni bidhaa adimu na kitu ambacho kinazingatiwa sana. Si jambo la kushangaza kujikuta unapitiwa mpaka...
View ArticleMGOGORO WA MEYA MWANZA, SASA ANYANYANG'ANYWA BENDERA, JOHO,KITI NA MKUFU
Na Daudi Magesa, Majira, Mwanza SAKATA la Meya wa Jiji la Mwanza James Bwire (Pichani Kushoto) limechukua sura mpya baada ya kunyang'anywa vitu muhimu vya utambulisho wa wadhifa wake siku chache baada...
View ArticleSERIKALI KUFANIKISHA UWEPO WA SOKO LA BIDHAA (COMMUNITY EXCHANGE)
Na Mathias Canal, DodomaSerikali inaendelea na mchakato wa kufanikisha uwepo wa Mfumo wa soko la bidhaa (Commodity Exchange) ambapo miongoni mwa kazi za Mfumo huo utalenga kupunguza gharama za...
View ArticleDC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO
PICHANI: Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Shila Wilayani Nzega mkoani Tabora wakiwa wamebeba mbegu ya Viazi lishe wakielekea kwenye shamba darasa wakati wa uzinduzi wa shamba hilo wilayani humo leo....
View ArticleWATU MILIONI 126 KUAJIRIWA NA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA KUFIKIA 2024
Na Jumia Travel TanzaniaUsafiri wa anga ni miongoni mwa sekta inayochangia ukuaji wa uchumi wa dunia kwa kiasi kikubwa. Ilichangia moja kwa moja kiasi cha dola za Kimarekani trilioni 2.2 ya Pato la...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KAMA...
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa wamebeba shehena ya Mzigo wa ndizi kwa ajil iya kupeleka Kigamboni kama walivyokutwa na mpiga pichawetu kando kando wa barabara ya kuelekea katika kivuko cha...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu...
View ArticleMDAHALO WA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO CHA MZUMBE
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliofanyika Novemba 15...
View Article