CCM MBEYA YAMSHUKURU RAIS KUMTEUA MHE MWANJELWA KUWA NAIBU WAZIRI
PICHANI: Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akisalimiana na wajumbe wa kamati ya siasa mara baada ya kuwasili kuwasalimu katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Mkoani Mbeya akiwa ziarani Mkoani...
View ArticleMBUNGE MGAYA AWASAIDIA WANAWAKE VYEREHANI 370 NJOMBE
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA (Katikati Mstari wa Mbele) akiwa na baadhi ya wanawake aliowakabidhi vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 Halmashauri ya Makambako...
View ArticleSERIKALI YAAGIZA KUUNDWA CHOMBO CHA KUDHIBITI UBORA WA MAZAO YA MISITU
Na Hamza Temba – WMUNaibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kubuni utaratibu mpya ikiwemo kuanzishwa kwa chombo...
View ArticleNAIBU WAZIRI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATEMBELEA TTCL, AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati), akisaini kitabu cha wageni alipofika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), wakati wa ziara yake ya kutembelea taasisi...
View ArticleWAZIRI WA MAJI ATOA AGIZO ZITO
PICHANI: Waziri wa Maji Mhandisi Issack Kamwelwe akifungua Kongamano la tano la Wadau wa Maji nchini linalofanyika kwa siku mbili Novemba 23 na 24, 2017 jijini Tanga. (Picha na Yusuph Mussa).Na Yusuph...
View ArticleKONGAMANO LA WANATAALUMA KUFANYIKA HOTELI YA LANDMARK DAR ES SALAAM
PICHANI: Mratibu wa Kongamamo la Wasomi Wanataaluma wa Kikristo liitwalo Tanzania for Jesus Prayer Movement ambalo mlezi wake ni Huduma ya I Go Africa for Jesus, Ephrahim Mwambapa akizungumza katika...
View Article10 YEARS ANNIVERSARY OF BANK OF AFRICA-TANZANIA
The guest of honor; Honorable Charles Mwijage, Minister of Industries, Trade and Investment giving out the speech at the Bank’s 10 years’ anniversary event, yesterday at Serena Hotel.CEO and Managing...
View ArticleJUMIA YATANGAZA RASMI KAMPENI YA ‘BLACK FRIDAY’ NCHINI TANZANIA
Meneja Mauzo Jumia Tanzania, Iddy Mkumba, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kuanza rasmi kwa kampeni ya 'Black Friday hapa nchini inayoendeshwa na Jumia. Kushoto Meneja...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA KILIMO AKUTANA NA WAHARIRI ILI KUELIMISHA MIFUMO MIPYA...
PICHANI: Mgeni Rasmi-Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kwenye Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa...
View ArticleDKT. MWAKYEMBE AIPONGEZA PSPF KWA TUZO YA ISSA GOOD PRACTICE AWARDS AFRICA...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Harrison Mwakyembe, (kulia), na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, wakiwaonyesha waandishi wa habari, tuzo...
View ArticleUMEME MEGAWATI 30, KINYEREZI II KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7
WAKANDARASI wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO) na wale wa kigeni, wakiendelea kuchapa kazi leo Novemba 25, 2017 ili kukamilisha hatua ya kwanza ya ujenzi wa mitambo Kinyerezi II jijini Dar es...
View ArticleANNE KILANGO AMPIGIA DEBE MGOMBEA UDIWANI KOROGWE
PICHANI: Mbunge wa kuteuliwa na Rais, Anne Kilango Malecela akimnadi mgombea udiwani kata ya Majengo Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga leo hii Mustapha Shengwatu (Picha na Yusuph Mussa). Na...
View ArticleMWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB) KUBORESHA HUDUMA 2018
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidWAKATI Mwaka 2017 ukifikia ukingoni taasisi mbaliombali nchini zimeanza kuwakusanya watumishi wake na kufanya tathmini ya utendaji na kujadili namna ya kuzikabili changamoto...
View ArticleRAIS MAGUFULI KUTEGUA KITENDAWILI CHA MAELEZI YAKE DODOMA
-- USIKU wa Kitendawili unazidi kupamba moto ambapo Rais, Dk. John Pombe Magufulimnamo Desemba 8, mwaka huu anatafunga siri na malezi yake ya utotoni ambayo ndiyo yaliyomfanya leo hii awe mzalendo wa...
View ArticleUZALISHAJI UMEME PANGANI HYDRO NI WA UHAKIKA
Mhandisi Mahenda S. Mahenda, Meneja wa Vituo vya uzalishaji umeme wa maji vya Pangani Hydro Systems, vinavyohusisha inahusisha vituo vitatu, New Pangani, kilichoko wilayani Muheza, Hale wilaya ya...
View ArticleTANESCO YAJIVUNIA UMEME WA UHAKIKA PANGANI HYDRO
Na Mwandishi Wetu, KorogweSHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO), litaendelea kuzalisha umeme wa uhakika katika vituo vyake vitatu vya Pangani Hydro Systems ambavyo kwa sasa vinazalisha megawati 97.Vituo...
View Article