NAIBU WAZIRI KAKUNDA AFANYA ZIARA KILWA
PICHANI: Mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa Zablon Bugingo kulia akitoamaelezo ya mradi mkubwa wa uoteshaji wa miche ya korosho kwa Naibu waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI George Kakunda alipofanya ziara...
View ArticleWANAHABARI WA TANZANIA WATEMBELEA KAMPUNI YA HUWAWEI NCHINI CHINA
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa ndani ya Kiwanda cha Kampuni ya Huwawei walipotembelea Kiwanda hicho kuijionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni...
View ArticleHAKUNA MATATA YA TUMAINI MSOWOYA KUACHIWA ALBAMU YAKE OCTOBER 29
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesera anatarajia kuwa mgeni rasmi katikauzinduzi wa albamu ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Tumaini Msowoya, katika ukumbi wa Highland Hall mjini Iringa.Wageni...
View ArticleWATANZANIA WAWILI KATI YA WATATU WANATAKA KATIBA MPYA
Wananchi wawili kati ya watatu wanasema Tanzania inahitaji katiba mpyaNusu ya wananchi wanasema mchakato wa katiba uanze upya na tume mpya19 Oktoba 2017, Dar es Salaam: Asilimia 67 ya Watanzania...
View ArticleCWT KOROGWE YAFURAHIA SERIKALI KULIPA MABILIONI YA WALIMU
PICHANI: Katibu wa CWT Mkoa wa Tanga Luya Ngonyani akizungumza jambo kwenye Mkutano Mkuu wa CWT Wilaya ya Korogwe uliofanyika mjini Korogwe. (Picha na Yusuph Mussa).CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT)...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA MWANZA
PICHANI: Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Ashatu Kijaji jana amekutana na wafanyabiashara Jijini Mwanza kwa ajili ya kusikiliza na kutatua baadhi ya kero za kibiashara kutoka kwa wafanyabiashara...
View Article‘HALMASHAURI ZIMUUNGE MKONO RAIS KUNUNUA VITANDA VYA KUJIFUNGULIA’, DKT NCHIMBI
PICHANI: Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akifungua moja kati ya vitanda 14 vya kujifungulia vilivyotolewa na Rais Magufuli mapema leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida.Na...
View ArticleDKT MWANJELWA: USHIRIKA UPIGE VITA NJAA, UJINGA, MARADHI NA UMASKINI
PICHANI: Mgeni Rasmi, Naibu Waziri – Wizara ya Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa akiangalia sehemu ya bidhaa za chakula zilizosindikwa kutoka katika Vikundi vilivyoanzishwa chini ya Ushirika wa Akiba na...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA MIRADI YA VITUO VYA UMEME KIGAMBONI
PICHANI: Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (wapili kulia), akifurahia jambo na wahandisi na mafundi wa TANESCO alipotembela mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha...
View ArticleVIJANA WAZALENDO WAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DODOMA
Mhe Jordan Rugimbana Mkuu wa mkoa wa Dodoma akikabidhiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka Taarifa ya Tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMWALIMU COMMERCIAL BANK, YASHIRIKI BONANZA YA WALIMU WA MICHEZO
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAIDTIMU ya soka ya wafanyakazi wa Mwalimu Commercial Bank,(MCB), plc, imefungwa mabao 3-1 na kikosi mchanganyiko cha walimu wa jijini dar es salaam, katika pambano la kirafiki...
View ArticleDOGO ZERO BINGWA SINGELI MICHANO NJE NDANI YA EFM BAGAMOYO
Mshindi wa Shindano lasingeli Michano Bagamoyo Dogo Zero, akiwarusha wakazi wa Bagamoyo mara baada ya kutangazwa Bingwa wa Shindano hilo Watangazaji wa kipindi cha Genge na ma MC wa shindano la...
View ArticleIGP SIRRO APONGEZWA NA WAZEE WA KIBITI NA IKWIRIRI
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsalimiana na viongozi waandamizi na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili Ikwiriri Mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilayay zote...
View ArticleKATIBU MKUU KITILA AZINDUA JUKWAA LA WADAU WA MAJI ARUSHA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji , Profesa Kitila Mkumbo,Akizindua Jukwaa la wadau kuhusu usimamizi na utunzani wa maji katika Bonde la Pangani jijini Arusha juzi(Habari Picha na Pamela...
View ArticleSHIRIKA LA HAKI ELIMU YASHIRIKIANA NA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO ZA ELIMU.
<div class="separator" style="clear: both; text-align: center;"><a...
View ArticleTASNIA HALISI WHATSAAP GROUP YAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidWAANDISHI wa habari ambao ni wanachama wa kundi la Whatsaap lijulikanalo kama TASNIA HALISI wamezindua kundi hilo leo Oktoba 28, 2017 kwa sherehe kabambe ya kukata na shoka...
View ArticleTANESCO YAWEKA KAMBI MBEZI KUREJESHA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidJUHUDI kubwa zimekuwa zikifanywa na wahandisi na mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), kurejesha miundombinu iliyoathiriwa na mvua za vuli zilizonyesha kwa siku...
View ArticleCCM YAZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KWA MBWEMBWE KIJICHI LEO
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe akimnadi mgombea wa CCM katika uchaguzi wa marudio wa Udiwani Kata ya Kijichi, Eliasa Mtalawanje,Temeke Dar es Salaam, leo. Akizungumza amesema CCM...
View ArticleEFM MZIKI MNENE GUMZO KILA KONA BAGAMOYO
Msanii wa Muziki wa Hip Pop Nchini, Izo Busines akitoa Burudani kwa wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo katika Tamasha Maharufu la Mziki Mnene lililofanyika katika Bar ya Dunda Dunda linaloandaliwa na Efm...
View ArticleMWENYEKITI (CWT) MUFINDI; WALIMU TUNAISHI KWENYE MAPAGALE TUNAOMBA VIWANJA
PICHANI: Mwenyekiti chama cha walimu wa Tanzania (CWT) wilaya ya Mufindi Obi Kimbale akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania (CWT) wilaya ya Mufindi...
View Article