Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KAMA YALIVYONASWA NA KAMERA YETU

$
0
0
 Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa wamebeba shehena ya Mzigo wa ndizi kwa ajil iya kupeleka Kigamboni kama walivyokutwa na mpiga pichawetu kando kando wa barabara ya kuelekea katika kivuko cha Kigamboni eneo la Kivukoni Dar es Salaam

 Wasukuma Mkokoteni wakisaidia kusukuma Mzigo wa vyombo mbalimbali kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika barabara ya Kivukoni jijini Dar es Salaam


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles